wana ubaguzi sana
umebaguliwa ndugu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana ubaguzi sana
mbona waarabu watupu, tena koko? hana ndugu waswahili? kina faizafoxy
Wewe mbona huendi kuchota huko serikalini?Hao hela huwa wanachota Serikalini, na biashara zao zina kinga ya competition...muungie uone
Huwa najiuliza sana, kwa nini picha za shetani zimewekewa rangi nyeusiHii sherehe hakualikwa mbongo hata mmoja!!! Weusi ni waimbaji tu (Jux na Dimpoz) 😁
wee ni pimbi wala sina muda mchafu wa uchawa wa kijingaYani waoane wenyewe, wapendane na washirikiane afu wewe uchukie?
Nyie mmekatazwa kuoana wenyewe kwa wenyewe na kushirikiana? Umewahi kusikia wao wakilalamika hamjawaalika au mmewagomea kuoa ndugu zenu? Charity begins at home kitu ambacho wamatumbi hamkijui hadi leo. Nyie endeleeni kuamini ndugu zenu ndo wabaya wenu muone kama mtafika popote.
Wakasahau vazi pendwa la kanzusikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga
Birthday party ilimhusu mke wake pamoja na wanafamilia / ndugu wa karibu.
Maua ya kutosha, itakuwa yaliletwa na kontena mbili
zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce & Gabbana, Gucci, hakuna feki feki.
Fataki zimepigwa
Wasanii Jux na Ommy walitoa burudani.
View attachment 2728125
View attachment 2728117
View attachment 2728122
View attachment 2728123
Sherehe ni ya familia, Sasa kama familia na ukoo ni wa kiarabu unatarajia weusi watokee wapi?Hii sherehe hakualikwa mbongo hata mmoja!!! Weusi ni waimbaji tu (Jux na Dimpoz) 😁
Thread closedYani waoane wenyewe, wapendane na washirikiane afu wewe uchukie?
Nyie mmekatazwa kuoana wenyewe kwa wenyewe na kushirikiana? Umewahi kusikia wao wakilalamika hamjawaalika au mmewagomea kuoa ndugu zenu? Charity begins at home kitu ambacho wamatumbi hamkijui hadi leo. Nyie endeleeni kuamini ndugu zenu ndo wabaya wenu muone kama mtafika popote.
Kigambonino hiyo mzeeDuuuh hiyo mansion mzee baba ipo DSM kweli?
Duuh tutafute hela aseee 🙁🙁
😁 Wabongo mkaibeHii sherehe hakualikwa mbongo hata mmoja!!! Weusi ni waimbaji tu (Jux na Dimpoz) 😁
Namkubali Mwamba, sijui ndo alikufa au alifanikiwa kubadili sura na kutembea mbeleUkiwa mpigaji unahakikisha una stay low key Kama amado carrilo Fuentes
Acha matajiri waendelee kupendana wenyewe daima😁 masikini tunachuki za kichawi sana.. ndo kama izi.Hawo viumbe hata nikiwaona tu nakuwa na hasira!!
Cheki 😁 hii nayo , wewe matako ya wanawake zako yamekufikisha wapi😁Mbona hana Chura? Unakuwa Millionea halafu unao Tasi hana Chura?
Kwan kuna tatizo mkuu? 😂😂Hii sherehe hakualikwa mbongo hata mmoja!!! Weusi ni waimbaji tu (Jux na Dimpoz) 😁