BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

Kuanzia dola 5000 usipokuwa ngangari huzichukuchia, watu wengi mno wameporwa pesa zao lakini wametishwa kupewa kesi za utakatishaji pesa wakaamua kukaa kimya kwa hofu kubwa
Kuna mtu katumiwa dola 2000 wanambana
 
Kuanzia dola 5000 usipokuwa ngangari huzichukuchia, watu wengi mno wameporwa pesa zao lakini wametishwa kupewa kesi za utakatishaji pesa wakaamua kukaa kimya kwa hofu kubwa

Aisee yaani umetumiwa usd 5000 kwa vielelezo wanakusumbua?? Labda wamekuona kolo
 
Sio Benki kuu tuu benki zote.
Ukiingiziwa mzigo lazma huutolee maelezo.pesa zako bado zinakutesa.
Enzi ya kikwete unaweza ukaingia benk na furushi la hela hakuna anayekuuliza
Ni akili za mtu maskini.. nchi haiwezi kuendelea kwa mazingira kama haya, eti ukipata pesa unahojiwa. Mbona nikiwa sina kitu hakuna wa kunihoji?
 
Mkuuu hao kina msiba walichokufanyia ni kikubwa sana inaonekana
 
Ana acc BOT?? Mimi najua hela inaingia kwenye benki yako
Inakuja kwenye bank yako ndio,ila bank yako wataitaarifu bank kuu kisha utaitwa huko bank kuu ukamalizane nao kwanza ndio utaweza kuichukua kwenye bank yako.
 
Msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Umeona ukisema kwa kutoa coment haitoshi ukaona uje uianzishie uzi kabisa.

Upumbavu zaidi ni hapo umeandika tu maneno ya kufikirika bila kuweka ushahidi.

Kwa taarifa yako tu huyo kibaraka wako wa Amsterdam haoati zaidi ya 20%
 
Inakuja kwenye bank yako ndio,ila bank yako wataitaarifu bank kuu kisha utaitwa huko bank kuu ukamalizane nao kwanza ndio utaweza kuichukua kwenye bank yako.

Duuhhh, mimi sijawahi kutana nalo hilo tatizo
 
Na je amount hiyo hiyo kupitia world remit?
 
UJINGA WA MWISHILO HAPO NTAJIBU TAR 30..HILO LA BOT ..TUTALIFANYIA KAZI UJINGA WA KUTAKATISHA HELA ATUTAKI TENA NCHINI KAMA HALALI AWAWEZI KUKUNYIMA KAMWE
 
Mattercall ya mamko yanachezacheza... Unauliza swali la kipumba. Eti ana akaunti BOT. Hizo benki ambazo wewe una akaunti zinajitungia zenyewe sera? Upumba wa mamko huo.
Wewe Mattercall umeona nimeuliza ana bank BOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…