BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

Kuanzia dola 5000 usipokuwa ngangari huzichukuchia, watu wengi mno wameporwa pesa zao lakini wametishwa kupewa kesi za utakatishaji pesa wakaamua kukaa kimya kwa hofu kubwa
Kuna mtu katumiwa dola 2000 wanambana
 
Sio Benki kuu tuu benki zote.
Ukiingiziwa mzigo lazma huutolee maelezo.pesa zako bado zinakutesa.
Enzi ya kikwete unaweza ukaingia benk na furushi la hela hakuna anayekuuliza
Ni akili za mtu maskini.. nchi haiwezi kuendelea kwa mazingira kama haya, eti ukipata pesa unahojiwa. Mbona nikiwa sina kitu hakuna wa kunihoji?
 
Hapo ulipo huna Ubongo ni mbumbumbu juha kilaza unashinda ukivuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba unawezaje kujua chochote zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepole, kwa taarifa yako Nchi inaenda kupata uhuru tarehe 28 jiandae kisakolojia
Mkuuu hao kina msiba walichokufanyia ni kikubwa sana inaonekana
 
Ana acc BOT?? Mimi najua hela inaingia kwenye benki yako
Inakuja kwenye bank yako ndio,ila bank yako wataitaarifu bank kuu kisha utaitwa huko bank kuu ukamalizane nao kwanza ndio utaweza kuichukua kwenye bank yako.
 
Msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Umeona ukisema kwa kutoa coment haitoshi ukaona uje uianzishie uzi kabisa.

Upumbavu zaidi ni hapo umeandika tu maneno ya kufikirika bila kuweka ushahidi.

Kwa taarifa yako tu huyo kibaraka wako wa Amsterdam haoati zaidi ya 20%
 
Inakuja kwenye bank yako ndio,ila bank yako wataitaarifu bank kuu kisha utaitwa huko bank kuu ukamalizane nao kwanza ndio utaweza kuichukua kwenye bank yako.

Duuhhh, mimi sijawahi kutana nalo hilo tatizo
 
Nchi jirani wanakuza uchumi wao kwa watanzania kuweka pesa zao huko lakini BOT inadidimiza uchumi kwa kuwanyanyasa wenye pesa zao, alafu CCM wanakuja na kauli za uchumi wa kati ni uchumi wa kati upi wakati wafanyabiashara wamekimbiza pesa zao nje ya Nchi
Na je amount hiyo hiyo kupitia world remit?
 
Kutumiwa pesa toka nje ya Nchi sasa ni dhahama kubwa maofisa wa BOT wanaleta usumbufu mkubwa na baadhi wamegeuza kama kitengo cha kupigia pesa kwa kuwatisha waliotumiwa pesa kuwa watapewa kesi za utakatishaji pesa.

Utawala huu imepelekea wajanja wachache kutumia fursa hizo kujinufaisha na hapo hapo kuitengenezea BOT chuki kubwa toka kwa wafanyabiashara wakubwa na wananchi wa kawaida walioathirika na mfumo huo wa BOT ambao sasa umewapelekea baadhi ya wafanyabiashara kuhamishia pesa zao Uganda Zambia kenya kusiko na usumbufu juu ya pesa za mtu, hii ni mojawapo ya kero kubwa na imepelekea watu wengi kuzidi kumchukia Mkoloni kaburu mweusi ambaye wanaamini tarehe 28 ni bye bye na Nchi itaenda kupata uhuru upya na kuondokana na uonevu unyanyasaji uovu mwingi uliopo sasa.
UJINGA WA MWISHILO HAPO NTAJIBU TAR 30..HILO LA BOT ..TUTALIFANYIA KAZI UJINGA WA KUTAKATISHA HELA ATUTAKI TENA NCHINI KAMA HALALI AWAWEZI KUKUNYIMA KAMWE
 
Mattercall ya mamko yanachezacheza... Unauliza swali la kipumba. Eti ana akaunti BOT. Hizo benki ambazo wewe una akaunti zinajitungia zenyewe sera? Upumba wa mamko huo.
Wewe Mattercall umeona nimeuliza ana bank BOT
 
Back
Top Bottom