Wakati ukitumiwa kwa worldremit au money wave ndani ya dakika umeshatuma na zimepokewa hata zaidi ya hizo.Unaandika kama mpumbavu, Unafikiri watu hawajui taratibu unajua wewe tu.
Transactions zimekua ngumu sana kwa sasa, wiki 2 unafuatilia muhamala wako.Ujinga mtupu.
Uganda ni safe zaidiNchi jirani wanakuza uchumi wao kwa watanzania kuweka pesa zao huko lakini BOT inadidimiza uchumi kwa kuwanyanyasa wenye pesa zao, alafu CCM wanakuja na kauli za uchumi wa kati ni uchumi wa kati upi wakati wafanyabiashara wamekimbiza pesa zao nje ya Nchi
WorldRemit ni rahisi charge zake ndogo sanaKwa njia gani? Kupitia benki, western union/ money gram au app za kutuma pesa?
Sendwave is the best.WorldRemit ni rahisi charge zake ndogo sana
Mkuu BOT wanaregulate all money transactions pamoja na hizo Benki. Kiasi kikubwa cha hela kikiingizwa kwenye account yako hadi BOT ijiridhishe la sivyo inarudi ilipotoka
Hii ni kwa ajili ya pesa madafu, huwezi pokea more than 10 ml kwa wakati mmoja jombaaBOT ina akaunti za watu wa kawaida? Mi nikajua ni regulator tu na sio Bank ambayo mfanya biashara anafungua akaunti na kuhifadhi hela. Anyways, Worldremit ipo
Milioni 10 za Tz? Ninachoelewa ni dollar za Marekani elfu 10.
Uganda Zambia kenya ukiwa na A/C ukatumiwa pesa hawana ujinga kama wa BOT wa kuwapora wafanyabiashara pesa zao kisha kuwatishia kesi za utakatishaji fedha, tarehe 28 Nchi ikipata uhuru upya BOT itavunjwa isukwe upya kwani imelikosesha Taifa pesa nyingi kwa mambo yake ya hovyo yasiyo na tija kwa TaifaUganda ni safe zaidi
BOT siwataki hata kuwasikia
Wanapoteza pesa za kigeni kwa usumbufu wao usio na maana
Acha tuchukukulie Uganda kwa sasa easy simple passport yako that's all you need
Hawana zengwe
Wakati mwingine hata Dola 3000 tu huwasumbua watu, kwa kifupi BOT ya mtukufu magufuli ni Sumu kwa wafanyabiashara woteHii ni kwa ajili ya pesa madafu, huwezi pokea more than 10 ml kwa wakati mmoja jombaa
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Western union napo ikizidi dola 4500 kuna shida kubwa utasumbuliwa mpaka ukome kwa kifupi Nchi inahitajika uhuru tarehe 28 haki ipate kutamalaki tuondokane na huu udikiteta watu wawe huru na pesa zao wapanue ajila na uwekezajiKwa njia gani? Kupitia benki, western union/ money gram au app za kutuma pesa?
BenkiKwa njia gani? Kupitia benki, western union/ money gram au app za kutuma pesa?
Kama kanuni imeweka kuanzia Milioni 10 uzitolee maelezo tatizo liko wapi? Wao wanafanya jukumu lao la kuhakikisha hakuna fedha haramu inaingie kwenye mzunguko na wewe fanya jukumu lako la kuwaambia sababu ya kuzipokea.Hii ni kwa ajili ya pesa madafu, huwezi pokea more than 10 ml kwa wakati mmoja jombaa
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Umesoma post yangu au umekurupuka kujibu?Kama kanuni imeweka kuanzia Milioni 10 uzitolee maelezo tatizo liko wapi? Wao wanafanya jukumu lao la kuhakikisha hakuna fedha haramu inaingie kwenye mzunguko na wewe fanya jukumu lako la kuwaambia sababu ya kuzipokea.
Nimeisoma vizuri tu na ndio mana nikajibu kama nilivojibu. Na ndio maana nikauliza kwa walalamikaji kuna tatizo kutolea maelezo izo pesa kama njia nyingine zina vikomo za upokeaji? Sio kila kitu kulalamika.Umesoma post yangu au umekurupuka kujibu?
Usisahau kumchagua Lissu atarudisha akili zilizopotea
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nasikia hayo madaraja ni pesa za msaada wa wakorea, mbona mnajichukulia sifa hadi kwa pesa za misaada..Yote kwa yote, flyover ndio kama vile, ishakamilika
BOT sasa ina uhaba wa pesa za kigeni kwani wafanyabiashara wengi sasa wanatumia Mabenk ya Uganda Zambia kenya ambapo hakuna ujinga kama wa BOTHawa jamaa sijui wanatupeleka wapi
hawawezi kuajiri hata 0.001 ya graduates wa mwaka mmoja halafu bado wanawasumbua watu wanaopokea fedha za biashara ya mtandaoni
wasipokua makini $1 inaweza kuwa elfu 5 ndani ya mwaka 1
chagua magufuli mkuu mitano tenaKenya Uganda Zambia kenya hawana huo utaratibu wao ni ruksa kuingiza pesa zozote cha muhimu ni kuhakikisha kuwa pesa zote zinatumika kwenye mzunguko wa pale pale, usumbufu upo Tanzania unaweza kuingiza pesa zikiwa na Maelezo vizuri na bado wanakuletea usumbufu ndiyo maana wafanyabiashara wakubwa na wa kawaida wamehamishia A/C Nchi zingine kusiko na usumbufu kama wa BOT