BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

Unaandika kama mpumbavu, Unafikiri watu hawajui taratibu unajua wewe tu.

Transactions zimekua ngumu sana kwa sasa, wiki 2 unafuatilia muhamala wako.Ujinga mtupu.
Wakati ukitumiwa kwa worldremit au money wave ndani ya dakika umeshatuma na zimepokewa hata zaidi ya hizo.
 
Nchi jirani wanakuza uchumi wao kwa watanzania kuweka pesa zao huko lakini BOT inadidimiza uchumi kwa kuwanyanyasa wenye pesa zao, alafu CCM wanakuja na kauli za uchumi wa kati ni uchumi wa kati upi wakati wafanyabiashara wamekimbiza pesa zao nje ya Nchi
Uganda ni safe zaidi
BOT siwataki hata kuwasikia
Wanapoteza pesa za kigeni kwa usumbufu wao usio na maana
Acha tuchukukulie Uganda kwa sasa easy simple passport yako that's all you need
Hawana zengwe
 
BOT ina akaunti za watu wa kawaida? Mi nikajua ni regulator tu na sio Bank ambayo mfanya biashara anafungua akaunti na kuhifadhi hela. Anyways, Worldremit ipo
Hii ni kwa ajili ya pesa madafu, huwezi pokea more than 10 ml kwa wakati mmoja jombaa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Uganda ni safe zaidi
BOT siwataki hata kuwasikia
Wanapoteza pesa za kigeni kwa usumbufu wao usio na maana
Acha tuchukukulie Uganda kwa sasa easy simple passport yako that's all you need
Hawana zengwe
Uganda Zambia kenya ukiwa na A/C ukatumiwa pesa hawana ujinga kama wa BOT wa kuwapora wafanyabiashara pesa zao kisha kuwatishia kesi za utakatishaji fedha, tarehe 28 Nchi ikipata uhuru upya BOT itavunjwa isukwe upya kwani imelikosesha Taifa pesa nyingi kwa mambo yake ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Kwa njia gani? Kupitia benki, western union/ money gram au app za kutuma pesa?
Western union napo ikizidi dola 4500 kuna shida kubwa utasumbuliwa mpaka ukome kwa kifupi Nchi inahitajika uhuru tarehe 28 haki ipate kutamalaki tuondokane na huu udikiteta watu wawe huru na pesa zao wapanue ajila na uwekezaji
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Ukuda unoko roho mbaya ya kaburu Mkoloni mweusi imetumika kama fursa kwa wajanja wachache huko BOT kupiga pesa kwa kuwatisha watu walizotumiwa pesa kesi za utakatishaji fedha, mtukufu yeye hutengeneza taratibu za kidikteta lakini hajui kuwa wapo wajanja hunufaika kupitia Ukuda wake na ni hatari kwa uchumi wa Nchi kwa pesa nyingi zinaenda Uganda Zambia kenya kwa sasa badala ya Tanzania.
 
Hii ni kwa ajili ya pesa madafu, huwezi pokea more than 10 ml kwa wakati mmoja jombaa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kama kanuni imeweka kuanzia Milioni 10 uzitolee maelezo tatizo liko wapi? Wao wanafanya jukumu lao la kuhakikisha hakuna fedha haramu inaingie kwenye mzunguko na wewe fanya jukumu lako la kuwaambia sababu ya kuzipokea.
 
Umesoma post yangu au umekurupuka kujibu?

Usisahau kumchagua Lissu atarudisha akili zilizopotea

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Umesoma post yangu au umekurupuka kujibu?

Usisahau kumchagua Lissu atarudisha akili zilizopotea

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nimeisoma vizuri tu na ndio mana nikajibu kama nilivojibu. Na ndio maana nikauliza kwa walalamikaji kuna tatizo kutolea maelezo izo pesa kama njia nyingine zina vikomo za upokeaji? Sio kila kitu kulalamika.

Siendi kumpigia kura mtu, walishasema nchi haitoki kwa makaratasi, mi naona watu wanajihangaisha tu. Muungano anatangazwa JPM na visiwani anatangazwa Huseni, hata kama wote wakipata kura moja tu.
 
Hawa jamaa sijui wanatupeleka wapi
hawawezi kuajiri hata 0.001 ya graduates wa mwaka mmoja halafu bado wanawasumbua watu wanaopokea fedha za biashara ya mtandaoni
wasipokua makini $1 inaweza kuwa elfu 5 ndani ya mwaka 1
 
BOT sasa ina uhaba wa pesa za kigeni kwani wafanyabiashara wengi sasa wanatumia Mabenk ya Uganda Zambia kenya ambapo hakuna ujinga kama wa BOT
 
Kenya Uganda Zambia kenya hawana huo utaratibu wao ni ruksa kuingiza pesa zozote cha muhimu ni kuhakikisha kuwa pesa zote zinatumika kwenye mzunguko wa pale pale, usumbufu upo Tanzania unaweza kuingiza pesa zikiwa na Maelezo vizuri na bado wanakuletea usumbufu ndiyo maana wafanyabiashara wakubwa na wa kawaida wamehamishia A/C Nchi zingine kusiko na usumbufu kama wa BOT
chagua magufuli mkuu mitano tena
 
Back
Top Bottom