minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kutumiwa pesa toka nje ya Nchi sasa ni dhahama kubwa maofisa wa BOT wanaleta usumbufu mkubwa na baadhi wamegeuza kama kitengo cha kupigia pesa kwa kuwatisha waliotumiwa pesa kuwa watapewa kesi za utakatishaji pesa.
Utawala huu imepelekea wajanja wachache kutumia fursa hizo kujinufaisha na hapo hapo kuitengenezea BOT chuki kubwa toka kwa wafanyabiashara wakubwa na wananchi wa kawaida walioathirika na mfumo huo wa BOT ambao sasa umewapelekea baadhi ya wafanyabiashara kuhamishia pesa zao Uganda Zambia kenya kusiko na usumbufu juu ya pesa za mtu, hii ni mojawapo ya kero kubwa na imepelekea watu wengi kuzidi kumchukia Mkoloni kaburu mweusi ambaye wanaamini tarehe 28 ni bye bye na Nchi itaenda kupata uhuru upya na kuondokana na uonevu unyanyasaji uovu mwingi uliopo sasa.