BoT fanyeni msako wa kushitukiza, bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za benki za wateja wao

Nilishaliona pia hilo pale ATM za NMB Korogwe Kuna wakuria ofisi zao zipo jirani na Ofisi za Tigo Korogwe, nap ni hivyo hivyo .cha ajabu mtu ukikopa riba yao ni 50% huu wizi wa mchana

Hao wakopeshaji Ni wajanja sn... Utakuta Ana kiduka kidogo Cha vifaa Kama redio, tv nk... Sasa ule mkataba wa mkopo utasoma ulikopa kitu fulani na kitalipwa kwa mikupuo na riba kubwa..

Sio kwamba hawajulikani... Wanafahamika kwa kazi hiyo.

Tatizo Ni mikopaji kwenda kukopa kwa hiari yake... Pasipo kutoa taarifa sehemu husika Kama tra au bot...

Mbaya zaidi wanatumia risiti za Kuandika kwa mkono.
 
Jiulize kwanini watu wanapenda kukopa kwa watu binafsi jibu taasisi zetu za fedha hasa mabenki siyo rafiki kwa wateja cha muhimu bot wakae na mabenki waboreshe huduma zao na kuacha makato yanayoumiza wateja
Tatizo lingine kubwa ni sheria ya moja ya tatu inayofanya watumishi wengi wasikopesheke katika mabenki na hivyo kulazimika kukopa katika hizi taasisi za mitaani.
 
Kwa mfano, Kwenye ATM za benki ya NMB Wilayani Sikonge ,Kuna vijaaa wakurya ndiyo mawakala wa kukopesa,huwa wanashinda pale Benki wakiwa na mamia ya Kadi za wadaiwa.

Hivyo kila anayedaiwa akifika ATM wale vijana wanatoa pesa zao Kisha mdaiwa wanampa pesa kiasi silizosalia na wanabaki na Kadi,Tena mbele ya viongozi wa Benki na asikari walinzi.
Ukisikia ujinga ndio huu! Kukopa ukope kwa siri halafu siku ya kulipa ulete malalamiko yenye harufu ya kikabila kuwa kuna vijana wa kikurya wanashinda benki wakiwa na kadi za wadaiwa. Hizo kadi walizichukua kwa kuwalazimisha wenye kadi? Wewe lipa deni lako uondokane na utumwa wa kudaiwa. Mulisya.
 
Kwa mujibu wa regulators kupitia sheria, taratibu na miongozo adhabu kali itatolewa kwa yoyote unayekopesha fedha nje utaratibu sio kwa anayekopa

Usishangae ukijikuta keko kwa ajili ya riba ya elfu30 uliyomtoza mwananchi
Watamkamataje huyo mkopeshaji wa mikopo?? Na hata wakimkamata nikumwonea kwasababu wenyeshida ndio wanaowatafuta kulingana na kukidhi mahitaji yao. Hiyosheria iende kwa wanaolazimishwa kukopeshwa.
 
Kumbuka na wao leseni waliyopewa na BOT ina mashariti ya kuzingatia sheria, kwahiyo kama waliona sheria zinawabana, basi wasingejiingiza kwenye hii biashara kwani na wao ni shida zao ndio ziliwafanya wajiingize kwenye hii biashara.

Kwa kifupi, wanachokifanya ni kukiuka mashariti ya leseni walizopewa.

Nina wasiwasi wewe unafanya hii biashara au unanufaika na hii biashara kwa namna moja au nyingine.
 
Kumbuka na wao leseni waliyopewa na BOT ina mashariti ya kuzingatia sheria. Kwahiyo, kama waliona sheria zinawabana, basi wasingejiingiza kwenye hii biashara kwani na wao ni shida zao ndio ziliwafanya wajiingize kwenye hii biashara.

Ahaaaa, kama kuna wenyekibali cha kukopesha na kukiuka mashariti kwa makusudi mzima, hao washugulikiwee. Lakini kuna watumishi wanalazimisha kukopeshwa fedha kwenye vibanda umiza, jeee hao nao utawahukumu kwa lipiii?? Unakuta muuuza chipsi anamiliki kadi za watumishi miamojaa yaaniiii watumishi ndohawajitambui kabisa. Kwahiyo ingefaa elimu na taratibu za ukopeshazi zitolewe kwa uma wote wafahamuuu.
 
Asomaye afahamu
Screenshot_20210203-133904_2.jpg
 
Watamkamataje huyo mkopeshaji wa mikopo?? Na hata wakimkamata nikumwonea kwasababu wenyeshida ndio wanaowatafuta kulingana na kukidhi mahitaji yao. Hiyosheria iende kwa wanaolazimishwa kukopeshwa.
Kwa mujibu wa regulators kupitia sheria, taratibu na miongozo adhabu kali itatolewa kwa yoyote unayekopesha fedha nje utaratibu sio kwa anayekopa

Usishangae ukijikuta keko kwa ajili ya riba ya elfu30 uliyomtoza mwananchi
 
Kwa mujibu wa regulators kupitia sheria, taratibu na miongozo adhabu kali itatolewa kwa yoyote unayekopesha fedha nje utaratibu sio kwa anayekopa

Usishangae ukijikuta keko kwa ajili ya riba ya elfu30 uliyomtoza mwananchi
Watawakamatajee?? Sasa? Maaana hayo madili hayana ofisi rasimi watu wanamalizana kishikaji na mambo yanaisha kiroho safiiii.
 
Dawa ya deni ni kulipa mtoa mada kalipe deni la watu mbona wakat unaenda kukopa hukuwashirikisha bot. Mda wa kulipa Cha watu umefika unajidai bot ifanye msako... Lipa deni la watu
 
Kumbuka na wao leseni waliyopewa na BOT ina mashariti ya kuzingatia sheria. Kwahiyo, kama waliona sheria zinawabana, basi wasingejiingiza kwenye hii biashara kwani na wao ni shida zao ndio ziliwafanya wajiingize kwenye hii biashara.

Kwa kifupi, wanachokifanya ni kukiuka mashariti ya leseni walizopewa.

Nina wasiwasi wewe unafanya hii biashara au unanufaika na hii biashara kwa namna moja au nyingine.
Nashukuru Mungu nilikataa kuwa mwalimu.

Miwalimu nchi hii ni mijinga na so desperate to the moon.

Kazi kujiliza liza tuu, tena kwa matatizo binafsi ambayo unaweza kuyatatua mwenyewe.

Hivi kuna mtu anayeshikiwa bastola kwenda kukopa ?

Eti sheria ya moja ya tatu ndio kikwazo.

Kwanza kuwekewa sheria ya moja ya tatu ni uthibitisho kwamba HAMJITAMBUI.

Kuna kipindi nilikuwa Handeni, unakuta jimwalimu limekopa mpaka halipati mshahara hata 100.

Ikabidi Mkurugenzi aingilie kati, mtu akitaka kukopa apitishe kwanza barua yake kwake ili ahakikishe anabakiwa na moja ya tatu.

Na unaposema eti mtu akichukuliwa kadi anaweza kutoa kwa sim banking, hilo ni kweli.

Ndio maana kukopesha mijitu mijinga kama nyie unatakiwa kuweka riba kuuuuubwa ili upunguze hasara.

Lipa pesa za watu, uwe huru. Acha kulialia.
 
Watawakamatajee?? Sasa? Maaana hayo madili hayana ofisi rasimi watu wanamalizana kishikaji na mambo yanaisha kiroho safiiii.
Hawa watu wana maofisi na haya mambo yanafanyika ndani ya hizo ofisi.Kama hujui ni bora kukaa kimya.
 
Nashukuru Mungu nilikataa kuwa mwalimu.

Miwalimu nchi hii ni mijinga na so desperate to the moon.

Kazi kujiliza liza tuu, tena kwa matatizo binafsi ambayo unaweza kuyatatua mwenyewe.

Hivi kuna mtu anayeshikiwa bastola kwenda kukopa ?

Eti sheria ya moja ya tatu ndio kikwazo.

Kwanza kuwekewa sheria ya moja ya tatu ni uthibitisho kwamba HAMJITAMBUI.

Kuna kipindi nilikuwa Handeni, unakuta jimwalimu limekopa mpaka halipati mshahara hata 100.

Ikabidi Mkurugenzi aingilie kati, mtu akitaka kukopa apitishe kwanza barua yake kwake ili ahakikishe anabakiwa na moja ya tatu.

Na unaposema eti mtu akichukuliwa kadi anaweza kutoa kwa sim banking, hilo ni kweli.

Ndio maana kukopesha mijitu mijinga kama nyie unatakiwa kuweka riba kuuuuubwa ili upunguze hasara.

Lipa pesa za watu, uwe huru. Acha kulialia.
Maneno mengi halafu hoja zote mfu!!Sijui hata kama umewlewa kilichoandikwa
 
Back
Top Bottom