Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Hiyo ndiyo dawa pekee iliyobaki mkuu.Nilikua na plani mbadala kuziondoa. Tuhamasishane tukope kwa wingi tusiwalipe zifilisike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndiyo dawa pekee iliyobaki mkuu.Nilikua na plani mbadala kuziondoa. Tuhamasishane tukope kwa wingi tusiwalipe zifilisike
Kwenye tovuti yao wamewataja mbonaMeneja wa BOT kamwe hawezi kuwataja wakopeshaji wanne sababu hao wakopeshaji wao ni wahusika na wananufaika binafsi.
Tofauti ni nnWlipewa leseseni za mikopo midogo midogo lakini si za kukopesha mitandaoni !
Fursa huzaa fursa.Hapa tuchukue point tatu,ni mda wa kuwadhulumu ambao hawajaidhinishwa