Wakusoma 12 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 4,035 Reaction score 11,462 Nov 12, 2024 #21 kagoshima said: Nilikua na plani mbadala kuziondoa. Tuhamasishane tukope kwa wingi tusiwalipe zifilisike Click to expand... Hiyo ndiyo dawa pekee iliyobaki mkuu.
kagoshima said: Nilikua na plani mbadala kuziondoa. Tuhamasishane tukope kwa wingi tusiwalipe zifilisike Click to expand... Hiyo ndiyo dawa pekee iliyobaki mkuu.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Nov 21, 2024 #22 Hatima BOT wameto orodha ya makampuni hayo leo tarehe 21/11/2024 ambapo ni makampuni yapatoyo 69. Orodha inapatikana katika website ya BOT. Nawapongeza sana BOT japo wamechelewa.
Hatima BOT wameto orodha ya makampuni hayo leo tarehe 21/11/2024 ambapo ni makampuni yapatoyo 69. Orodha inapatikana katika website ya BOT. Nawapongeza sana BOT japo wamechelewa.
Strong JF-Expert Member Joined Jun 9, 2013 Posts 515 Reaction score 454 Dec 1, 2024 #23 Adverse Effect said: Meneja wa BOT kamwe hawezi kuwataja wakopeshaji wanne sababu hao wakopeshaji wao ni wahusika na wananufaika binafsi. Click to expand... Kwenye tovuti yao wamewataja mbona
Adverse Effect said: Meneja wa BOT kamwe hawezi kuwataja wakopeshaji wanne sababu hao wakopeshaji wao ni wahusika na wananufaika binafsi. Click to expand... Kwenye tovuti yao wamewataja mbona
Msaga_sumu JF-Expert Member Joined Aug 31, 2022 Posts 289 Reaction score 291 Dec 11, 2024 #24 Benderea said: Wlipewa leseseni za mikopo midogo midogo lakini si za kukopesha mitandaoni ! Click to expand... Tofauti ni nn
Benderea said: Wlipewa leseseni za mikopo midogo midogo lakini si za kukopesha mitandaoni ! Click to expand... Tofauti ni nn
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Feb 5, 2025 #25 Tumwesige senior said: Hapa tuchukue point tatu,ni mda wa kuwadhulumu ambao hawajaidhinishwa Click to expand... Fursa huzaa fursa.
Tumwesige senior said: Hapa tuchukue point tatu,ni mda wa kuwadhulumu ambao hawajaidhinishwa Click to expand... Fursa huzaa fursa.