Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Kopeni Bank of Zanzibar.
Wako vizuri sana.
Hivi PBZ makafiri tunaruhusiwa kukopa uko, kama ambavyo wao wanaruhusiwa kutibiwa kwenye hospitali za kikafiri.Kopa PBZ, wako vizuri wameshika dini wale.
Wao sio extremist, nenda kapate huduma.Hivi PBZ makafiri tunaruhusiwa kukopa uko, kama ambavyo wao wanaruhusiwa kutibiwa kwenye hospitali za kikafiri.
Naomba unieleweshe kuhusu hiyo PBZ Kwa Mimi niliyeko Huku mpanda na hakuna wakala nakopaje?Kopa PBZ, wako vizuri wameshika dini wale.
Huo mkopo una riba ndogo sana kama unakopa 15M, unapata 13.5 alafu utarudisha 26M kwa miezi 108.Kama tujuavyo kwasasa mfanyakazi anaweza kukopa online Moja kwa Moja kupitia
ESS bila kwenda bank...
Lakini Cha ajabu bado RIBA ni kubwa na Kuna BIMA ya mkopo kubwa...
Lakini tukiachana na hayo ya bima na riba bado mabenki WANAKATA PROCESSING FEE,
(gharama za mkopo, au ada ya mkopo)
Najiuliza mfanyakazi anaomba mwenyewe kwa mb zake,
Bado anakatwa riba ya mkopo asilimia 16-17
Hii gharama ya mkopo ni nini?
Ni ya nini? Kama sio wizi..
Yaani huo mkopo unagharamiwa nini?
Mfano
Ukikopa ml 15 nmb kwa miezi 108
Utalipa ml 26+
Utakatwa bima 1.2 m
Gharama za mkopo 300k
So katika mil 15
Utakatwa 1.5 , utapata 13.5
Then uje kulipa million 26
Ukiona hivyo the Gavoo ipo behind the scissoršKama tujuavyo kwasasa mfanyakazi anaweza kukopa online Moja kwa Moja kupitia
ESS bila kwenda bank...
Lakini Cha ajabu bado RIBA ni kubwa na Kuna BIMA ya mkopo kubwa...
Lakini tukiachana na hayo ya bima na riba bado mabenki WANAKATA PROCESSING FEE,
(gharama za mkopo, au ada ya mkopo)
Najiuliza mfanyakazi anaomba mwenyewe kwa mb zake,
Bado anakatwa riba ya mkopo asilimia 16-17
Hii gharama ya mkopo ni nini?
Ni ya nini? Kama sio wizi..
Yaani huo mkopo unagharamiwa nini?
Mfano
Ukikopa ml 15 nmb kwa miezi 108
Utalipa ml 26+
Utakatwa bima 1.2 m
Gharama za mkopo 300k
So katika mil 15
Utakatwa 1.5 , utapata 13.5
Then uje kulipa million 26
Toka hapo, sogea mjini kwenye tawi lao wakuhudumie. Hakuna namna.Naomba unieleweshe kuhusu hiyo PBZ Kwa Mimi niliyeko Huku mpanda na hakuna wakala nakopaje?
Safi sana, nitawatembelea nikijipanga kukopaWao sio extremist, nenda kapate huduma.
Naunga mkono hoja. Mkopo una riba ndogo sana. Maranyingi watu hawaangalii muda wa mkopo. Miaka9 kwa hiyo riba ni rafiki sana.Huo mkopo una riba ndogo sana kama unakopa 15M, unapata 13.5 alafu utarudisha 26M kwa miezi 108.
Yaani kwa miaka 9 yote unafanya mrejesho wa mara mbili ya thamani ya sasa ya hela. Ningepata mkopo kama huu ningeukumbatia kwa nguvu zote.
Miaka 9 ijayo thamani ya TZS itakuwa imeshuka sababu ya inflation, si ajabu milioni 13.5 ya leo itakuwa sawa na milioni 20 ya 2033. Yani unipe hela leo alafu useme ndani ya miaka 9 niirudishe mara mbili yake tu, mbona kicheko kwangu.
Vipi kuhusu gharama za mkopo?Naunga mkono hoja. Mkopo una riba ndogo sana. Maranyingi watu hawaangalii muda wa mkopo. Miaka9 kwa hiyo riba ni rafiki sana.
Vipi gharama za mkopo?Huo mkopo una riba ndogo sana kama unakopa 15M, unapata 13.5 alafu utarudisha 26M kwa miezi 108.
Yaani kwa miaka 9 yote unafanya mrejesho wa mara mbili ya thamani ya sasa ya hela. Ningepata mkopo kama huu ningeukumbatia kwa nguvu zote.
Miaka 9 ijayo thamani ya TZS itakuwa imeshuka sababu ya inflation, si ajabu milioni 13.5 ya leo itakuwa sawa na milioni 20 ya 2033. Yani unipe hela leo alafu useme ndani ya miaka 9 niirudishe mara mbili yake tu, mbona kicheko kwangu.
Hizi non-interest income ni nyonya damu sana.Kama tujuavyo kwa sasa mfanyakazi anaweza kukopa online moja kwa moja kupitia ESS bila kwenda bank.
Lakini cha ajabu bado Riba ni kubwa na kuna Bima ya mkopo kubwa. Tukiachana na hayo ya bima na riba bado benki wanakata "Processing Fee" (gharama za mkopo, au ada ya mkopo).
Najiuliza mfanyakazi anaomba mwenyewe kwa mb zake, bado anakatwa riba ya mkopo asilimia 16-17, sasa hii gharama ya mkopo ni nini? Ni ya nini kama sio wizi? Yaani huo mkopo unagharamiwa nini?
Mfano, ukikopa ml. 15 NMB kwa miezi 108 utalipa ml 26+, utakatwa bima 1.2 m, gharama za mkopo 300k.
So katika mil 15 utakatwa 1.5, utapata 13.5 then uje kulipa milioni 26.
Watu hawaangalii time value of money (TVM), mtu binafsi unaweza fanya huo ujinga kumkopesha mtu 15M akulipe 26M miaka 9 ijayo?Naunga mkono hoja. Mkopo una riba ndogo sana. Maranyingi watu hawaangalii muda wa mkopo. Miaka9 kwa hiyo riba ni rafiki sana.