T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Ni zipi kama sio ulizotaja hapo zinazofanya 15M unayokopa ibaki 13.5MVipi gharama za mkopo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni zipi kama sio ulizotaja hapo zinazofanya 15M unayokopa ibaki 13.5MVipi gharama za mkopo?
Haaaaaaaaaaa, Kwan si nyumba inauza wachukue chawoDawa yao kukopa harafu ufe,kuna jamaa nilimuona ana zali alikopa milioni235,alijenga viwanja biashara,ana watoto2,hakudumu sana akafa
Uwe muislam tûKopeni Bank of Zanzibar.
Wako vizuri sana.
Hapana bhana,nilitaka kutopup mkopo nichukue 1.7 baada ya deni la awali kukatwa miezi 8,nikiwa sielewi nikauliza hivi zile gharama za mkopo zitakuwepo akanambia ndio yaani ile 1.5[emoji16][emoji16].
kwamba nitareset deni halafu nichukuel laki 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787],nikatoka bank huku nacheka sana.
Hili ni tatizo.Halafu wanapofunga mahesabu huwa wanasoma faida waliyopata kwa sauti kuuubwaaa.Kumbe ni fedha za wizi kimaandishi.Benki za Tanzania nyingi ni wezi wanaoptata faida kwa makato badala ya biashara .Ukingalia account kenye ATM makato,Ukiweka laki lazima wabaki na elfu ishirini,themanini ndiyo ya kwako,ukiprint receipt makato.Wanafahmu Watanzania hatupo serious kwenye issues kama hizi,acha tupigwe mpaka tutakapojitambua.
mzee usibishe babu.Hapana bhana,
Bank Gani hiyo?
Kwa benk nyingi makato ya bima na processing fee ya mkopo vinakatwa percentage wise..
Inategemea unalipa kwa muda gani, ni wakati sasa watu wajifunze kukopa mikopo wanayolipa maximum 2 yearsDuh Unapewa mil 13 unarudisha mil 26
Watanzania tunatumia mikopo vibaya. Unakopaje mkopo wa kulipa miaka 5 - 9. Hapo lazima bank wakufurahie.Huo mkopo una riba ndogo sana kama unakopa 15M, unapata 13.5 alafu utarudisha 26M kwa miezi 108.
Yaani kwa miaka 9 yote unafanya mrejesho wa mara mbili ya thamani ya sasa ya hela. Ningepata mkopo kama huu ningeukumbatia kwa nguvu zote.
Miaka 9 ijayo thamani ya TZS itakuwa imeshuka sababu ya inflation, si ajabu milioni 13.5 ya leo itakuwa sawa na milioni 20 ya 2033. Yani unipe hela leo alafu useme ndani ya miaka 9 niirudishe mara mbili yake tu, mbona kicheko kwangu.
Wengi sio matatizo mkuu, tunakopa kwa ajili ya maendeleo i.e Gari na nyumba.Mikopo sio mizuri ila matatizo hayapigi hodi na inatulazimu kukopa.
Kama unakopa na hautaji kuumizwa na marejesho, kopa.
Kama unaona marejesho yatakuumiza, bora usikope pambana kwa njia nyingine.
Ukitaka riba ipungue shusha miaka ya kufanya marejesho iwe angalau miaka mitatu. Ila ni lazima uwe na vyanzo vingine vya mapato vinginevyo mambo yatakuwa magumu sana. Mkopo uko fair huoKama tujuavyo kwa sasa mfanyakazi anaweza kukopa online moja kwa moja kupitia ESS bila kwenda bank.
Lakini cha ajabu bado Riba ni kubwa na kuna Bima ya mkopo kubwa. Tukiachana na hayo ya bima na riba bado benki wanakata "Processing Fee" (gharama za mkopo, au ada ya mkopo).
Najiuliza mfanyakazi anaomba mwenyewe kwa mb zake, bado anakatwa riba ya mkopo asilimia 16-17, sasa hii gharama ya mkopo ni nini? Ni ya nini kama sio wizi? Yaani huo mkopo unagharamiwa nini?
Mfano, ukikopa ml. 15 NMB kwa miezi 108 utalipa ml 26+, utakatwa bima 1.2 m, gharama za mkopo 300k.
So katika mil 15 utakatwa 1.5, utapata 13.5 then uje kulipa milioni 26.
Yaani mtu kapoteza uhai una unasema zali? Hivi kumbe ukifa mkopo haulipwi? Ni kwa sheria ipi? Labda uwe umekufa ukiwa huna assets ?Dawa yao kukopa harafu ufe,kuna jamaa nilimuona ana zali alikopa milioni235,alijenga viwanja biashara,ana watoto2,hakudumu sana akafa
Njoo Dodoma au nenda Dar ndio wana matawi yao. Njoo ukiwa na viambatanisho vyote.Naomba unieleweshe kuhusu hiyo PBZ Kwa Mimi niliyeko Huku mpanda na hakuna wakala nakopaje?
"AFDCBNW" ni benki 3 tofauti, kuna DCB, AfroBank n.k na uko sahihi kabisa japo ni mtizamo wangu.Someni komenti yangu ya hapo juu, msiidharau ni ya muhimu sana.
🤣🤣🤣nilitaka kutopup mkopo nichukue 1.7 baada ya deni la awali kukatwa miezi 8,nikiwa sielewi nikauliza hivi zile gharama za mkopo zitakuwepo akanambia ndio yaani ile 1.5😁😁.
kwamba nitareset deni halafu nichukuel laki 2🤣🤣🤣,nikatoka bank huku nacheka sana.