BoT mulikeni huu wizi kwenye benki unaitwa "Processing fee"

BoT mulikeni huu wizi kwenye benki unaitwa "Processing fee"

nilitaka kutopup mkopo nichukue 1.7 baada ya deni la awali kukatwa miezi 8,nikiwa sielewi nikauliza hivi zile gharama za mkopo zitakuwepo akanambia ndio yaani ile 1.5😁😁.

kwamba nitareset deni halafu nichukuel laki 2🤣🤣🤣,nikatoka bank huku nacheka sana.
😂🤣😁
 
Kama tujuavyo kwa sasa mfanyakazi anaweza kukopa online moja kwa moja kupitia ESS bila kwenda bank.

Lakini cha ajabu bado Riba ni kubwa na kuna Bima ya mkopo kubwa. Tukiachana na hayo ya bima na riba bado benki wanakata "Processing Fee" (gharama za mkopo, au ada ya mkopo).

Najiuliza mfanyakazi anaomba mwenyewe kwa mb zake, bado anakatwa riba ya mkopo asilimia 16-17, sasa hii gharama ya mkopo ni nini? Ni ya nini kama sio wizi? Yaani huo mkopo unagharamiwa nini?

Mfano, ukikopa ml. 15 NMB kwa miezi 108 utalipa ml 26+, utakatwa bima 1.2 m, gharama za mkopo 300k.

So katika mil 15 utakatwa 1.5, utapata 13.5 then uje kulipa milioni 26.
So painful mazee na kwa sasa ni aibu Rais wenu kayachia mabenki yamepandisha riba ni hovyo na aibu
 
mzee usibishe babu.

hao ni NMB na kama inapungua kidogo hapo nilipotaja basi ni laki au laki na nusu.
kuna bima hapo na ada,zote hizo ndio gharama zake hizo.

kama ni 17%-16% ya mkopo unadhani unadhani itakuwa shilingi ngapi kwa 15ml??
Hapa ulikuwa wachukua mkopo wa 1.7m na si 15m.
 
Back
Top Bottom