BoT mulikeni huu wizi kwenye benki unaitwa "Processing fee"

Duh!

Ila nani wa kutatua tatizo? Walikuwa wanakataa Dola hamna mtaani, wameanza kukubali hadi VP kaanza kuongea
 
Mikopo sio mizuri ila matatizo hayapigi hodi na inatulazimu kukopa.

Kama unakopa na hautaji kuumizwa na marejesho, kopa.

Kama unaona marejesho yatakuumiza, bora usikope pambana kwa njia nyingine.
Nina Imani wewe sio CCM. Kichwani uko vizuri mkuu.

Mkopo ni sumu!
 
HV una akili Kweli wewe unaenda kukopa miezi 108 pesa kidg hvyo

Yaani milion 15 ukope kwa miaka 9 akili huwa zinakuwa wapi


HV uweI kuchanganua vzr kqamz hyo pesa Ni kidg ungetakiwa urudish milion 30 au 40
 
Jamaa ni lijinga mno Kwanza anakopaje pesa kidg kwa miaka yote hyo
 
Hivi PBZ makafiri tunaruhusiwa kukopa uko, kama ambavyo wao wanaruhusiwa kutibiwa kwenye hospitali za kikafiri.
Mindset yako ndio jela yako. Ukiwa na upupu kichwani utabaki kukuna kichwa kila tatizo kumbe suluhu zipo.
 
Crdb wanatuibia wanakata 13,000 kwa mwezi bila maelezo

Wakati wa mwendazake karibu na uchavuzi walislash Kila account ili kufanya uchavuzi feki
 
Tatizo watawala wakiwemo wa bunge hawatusaudii wananchi kutulinda zidi ya wezi kupitiia mabenki nchini.
 
Sio miaka 9. Mkopo huo anaanza kuurejesha ndan ya mwezi huo huo aliokopa.

Ndani ya miaka mitatu au minne Bank wanakuwa washachukua hiyo M 15.

Hiyo miaka 6 au 4 inayobak bank wanakomba faida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…