Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kwenda bank, bank zina vgezo. Siku hizi kuna mikopo ya halmashahuri. Waipambanie hiyo.Sasa mkuu unataka wanaokopesha ndo waache kukopesha kwa kuwa hawana leseni au wanaokopa wasikope kwa wasio na leseni, maana hapo ni sawa na mtu anaetaka kuzuia biashara ya kuuza mwili aende akawadhibiti wauzaji badala ya wanunuzi, Mwenye shida siku zote ndo wa kuzuiliwa na sio mtatuzi... kwani hao wamama hawazioni bank, kwanini wasiende kukopa huko kama wanataka sheria za kuwalinda?
Mkuu Salary Slip naamini BoT wamekusikia. Najua kuna Mkurugenzi mpya wa Usimamizi wa Sekta ya Fedha, very active, hataacha hili lipite bila kulifanyia kazi kama kuna ukweli. Najua anatembeleaga humu.Nchi hii kuna sheria ambazo hutungwa halafu huwa zipo tu kwenye makaratasi na mojawapo inaweza kuwa ni Microfinanc ACT ya Mwaka 2018 na kanuni zake.
Sheria hii, pamoja na mambo mengine, inapiga marufuku watu kufanya biashaara ya kukopesha bila kusajaliwa na kuwa na leseni na inatoa adhabu kali kwa wanaovunja hii sheria.
Hata hivyo, kinachoendelea mitaan,i ni kama vile hii sheria haipo, na watu wanafanya hii biashara kiholela baadhi kwa kutoza riba kubwa tena kwa kunyanyasa wakopojaji wakati wao hata kadi hawalpi na hata leseni hawana.
Hata kwa walio na leseni na ni tatizo kwanini mtu akikwama, basi mkopaji hutamani hata kukimbia nyumbani au eneo lake la biashaara kuogopa fedheha ya kuzalilishwa au kudaiwa mbele za watu.
Ni kweli wakopojaji wanapaswa kulipa, ila mtu anapokwama, sheria inamlinda dhidi ya unyanyasaji au uzalilishaji na hata mikataba wanayotoa inapaswa kuzingatia sheria na kanuni zake.
Hivyo, nashauri BOT watoe matangazo kwenye vyombo vya habar kukumbusha kuwa ni kosa la jinai kufanya hii biashaara kama hujasajiliwa na huna leseni.
Pia, wenye leseni wazingatie mashariti ya leseni zao ikiwa ni pamoja na kutoa mikataba na kutonyanyasa wateja wao.
Halikadhalika, wakopojaji nao wakumbushwe kuwa wana wajibu wa kulipa madeni yao kukingana wa mikataba yao.
Kilichonisukuma kuandika haya ni hii mikopo ambayo marejesho yake ni ya kila siku bila kujali mtu siku hiyo umeuza au hujauza na umepata faida au hujapata ila rejesho ni lazima.
Wahanga wakubwa huku mitaani ni kina Mama ambao unaweza hata kuwaonea huruma wanapohangaika na haya marejesho ya kila siku.
Mwisho, nashauri serikali kupitia BOT, ikiwezekana wapige marufuku marejesho ya kila siku na iwe ni option ya mteja kutaka kurejesha kila siku.
Siamini kama kuna biashaara ya kutengeneza faida kila siku ya Mungu na hata kama ipo, Siamini kama kila siku hutopata dharau ukashindwa kufanya biashaara mfano kuugua au kuguliwa, n.k.
BOT chukueni hatua kunusura watu hasa kina Mama ambao wengi wao mitaji yao ni midogo. Ikiwezekana, pia mje na utaratibu sheria au kanuni kudhibiti riba kwenye hii biashaara ambayo kwa kiasi kikubwa inafanywa kiholela na wahusika hata kodi hawalipi.
Huyu mkurugenzi mpya inampasa kuangalia na wakopeshaji. Hawa watu wanakpesha sekta iliyoshindikana bank. Mtu hakopesheki sekta rasmi wala hana makazi ya kudumu, hana uthibitisho wa kuwa biashara yake inalipa na ana uwezo wa kurudisha hiyo fedha still kampuni inafunga macho kumwezesha halafu akisumbua hataki asumbuliwe anataka atetewe sababu kakwama.Mkuu Salary Slip naamini BoT wamekusikia. Najua kuna Mkurugenzi mpya wa Usimamizi wa Sekta ya Fedha, very active, hataacha hili lipite bila kulifanyia kazi kama kuna ukweli. Najua anatembeleaga humu.
MWIZI PEKEE NDIYE ANAOMBA UFANIKIWE ILI AKUIBIE OVERHakuna mtu atakusaidia tu sababu wewe ni mtu, ukipata shida ni fursa kwa mwingine.
Daktari anataka uumwe ndo anufaike, mwanasheria anataka upate kesi anufaike, muuza majeneza anataka mfe kwa wingi, wanaotengeneza ARV wanataka mpate hiv, wenye mabaa wanataka muwe walevi, mwalimu anatamani usielewe haraka ili akufundishe masomo ya ziada kwa gharama za ziada n.k.
😆 😆MWIZI PEKEE NDIYE ANAOMBA UFANIKIWE ILI AKUIBIE OVER
Ukishaona hakuna mkataba usichukue hiyo pesa au itakula kwako. Mtu ametafuta pesa yake kwa shida ww unataka uichukue tu bila mkataba halali? Hata akili hutumii? Serikali ina kazi sana.Hawa ambao hawana leseni hawatoa mikataba kwasababu wanajua itakula kwao.
Ni kweli. Ukikopa ukalipa sidhani kama kuna tatizo. Matatizo yote yanaanza pale unapokopa halafu usilipe na unataka ueleweke kuwa umekwama hivyo unatakiwa kulindwa.Biashara ya mkopo usipokaza wateja wanakufilisi huku wanacheka, kuhusu leseni wengi wanazo hiyo sheria ya Microfinance Act 2018 na Kanuni zake za 2019 zinatoa nafasi hata kwa watu binafsi kutoa mikopo (individual money lender) ujanja ujanja unazidi kuisha tukikopa tujitahidi walipa wenye mitaji yao
Basi uzi ungepaswa uwe wa kuwaasa hao wanaowakopa street guys wakakope hiyo ya halmashauri kuepuka riba kubwa na kupata sheria za kuwalinda maana street guys wao pia wanaangalia maslahi yao pia, na wanajua kabisa wakizembea hawalipwi pia kwa kuwa hawana sheria za kuwalinda.... Kingine hao wamama sometimes wanafeli sana unakuta anafurahia kukopa alafu kulipa hataki ndo unakuta mwisho wa siku anazalilishwaHawawezi kwenda bank, bank zina vgezo. Siku hzi kuna mikopo ya almashahuri. Waipambanie hiyo.
Kabisa boss. Serikali pia ingeweka ukomo wa dhamana kwa microfinance. Mfano sheria ikataze kuweka dhamana ya nyumba kwa microfinance zenye mtaji chini ya m500, na kwa wenye mtaji huo kuwe na mfumo maalum wa kufata. Asitokee mtu akapoteza nyumba kwa pesa ndogo.Basi uzi ungepaswa uwe wa kuwaasa hao wanaowakopa street guys wakakope hiyo ya halmashauri kuepuka riba kubwa na kupata sheria za kuwalinda
I Umeshakopa mtaani sasa unatafuta njia ya kudhulumu fedha za watu, nenda kalipe mkuu acha hizo, ulikopa kwa amani nenda kalipe kwa amani serekali inatatambua ya kwamba wapo wanaokopeshana kidugu mitaani kwa dharura mbalimbali za kijamii.Nchi hii kuna sheria ambazo hutungwa halafu huwa zipo tu kwenye makaratasi na mojawapo inaweza kuwa ni Microfinanc ACT ya Mwaka 2018 na kanuni zake.
Sheria hii, pamoja na mambo mengine, inapiga marufuku watu kufanya biashaara ya kukopesha bila kusajaliwa na kuwa na leseni na inatoa adhabu kali kwa wanaovunja hii sheria.
Hata hivyo, kinachoendelea mitaan,i ni kama vile hii sheria haipo, na watu wanafanya hii biashara kiholela baadhi kwa kutoza riba kubwa tena kwa kunyanyasa wakopojaji wakati wao hata kadi hawalpi na hata leseni hawana.
Hata kwa walio na leseni na ni tatizo kwanini mtu akikwama, basi mkopaji hutamani hata kukimbia nyumbani au eneo lake la biashaara kuogopa fedheha ya kuzalilishwa au kudaiwa mbele za watu.
Ni kweli wakopojaji wanapaswa kulipa, ila mtu anapokwama, sheria inamlinda dhidi ya unyanyasaji au uzalilishaji na hata mikataba wanayotoa inapaswa kuzingatia sheria na kanuni zake.
Hivyo, nashauri BOT watoe matangazo kwenye vyombo vya habar kukumbusha kuwa ni kosa la jinai kufanya hii biashaara kama hujasajiliwa na huna leseni.
Pia, wenye leseni wazingatie mashariti ya leseni zao ikiwa ni pamoja na kutoa mikataba na kutonyanyasa wateja wao.
Halikadhalika, wakopojaji nao wakumbushwe kuwa wana wajibu wa kulipa madeni yao kukingana wa mikataba yao.
Kilichonisukuma kuandika haya ni hii mikopo ambayo marejesho yake ni ya kila siku bila kujali mtu siku hiyo umeuza au hujauza na umepata faida au hujapata ila rejesho ni lazima.
Wahanga wakubwa huku mitaani ni kina Mama ambao unaweza hata kuwaonea huruma wanapohangaika na haya marejesho ya kila siku.
Mwisho, nashauri serikali kupitia BOT, ikiwezekana wapige marufuku marejesho ya kila siku na iwe ni option ya mteja kutaka kurejesha kila siku.
Siamini kama kuna biashaara ya kutengeneza faida kila siku ya Mungu na hata kama ipo, Siamini kama kila siku hutopata dharau ukashindwa kufanya biashaara mfano kuugua au kuguliwa, n.k.
BOT chukueni hatua kunusura watu hasa kina Mama ambao wengi wao mitaji yao ni midogo. Ikiwezekana, pia mje na utaratibu sheria au kanuni kudhibiti riba kwenye hii biashaara ambayo kwa kiasi kikubwa inafanywa kiholela na wahusika hata kodi hawalipi.
Kwanini hawaendi kwenye mabenki husika, Kwanini mchezo ya Akina mama ya kupeana fedha imekubuhu mitaani? Ipo shida pahala fulani bank ndizo zilipaswa kutoa solutions za maswala yote ya kifedha kwa watanzania mpaka ikaanzishwa TWB sijui kama bado ipo, BANK ZETU ZILEGEZE MASHARTI NA WA TANZANIA HAWATAKI VIJITAASISI ENDAPO BANK ZITAKUWA RAFIKI.Mnatia umasikini wamama wa watu. Hii biashaara imekuwa holelala kuliko holelala yenyewe.
HujitambuiAcha wivu