BOT: Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 5.4%. Hongera Rais Samia, hongera Comrade Mwigulu

Hizi ni takwimu za kisiasa, hazina uhalisia
Tupe za uhalisia mkuu ikiwa exports zimeongezek,utalii umeongezeka,huduma mbalimbali zinaongezeka, makusanyo ya serikali yanaongezeka nk wewe unasema ni blaa blaa?

Saizi hadi Vijijini huko Kuna lami πŸ‘‡
 
Sasa Mzee kwani contraction ndio recession
 
Tanzania itapaa Sana kiuchumi katika uongozi huu wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani maana juhudi za mh Rais wetu mpendwa kuijenga Tanzania yetu Ni kubwa na za Kasi sana
 
Sasa Mzee kwani contraction ndio recession
Binafsi nilivyomwelewa mjibu hoja ni kwamba,

Ni ngumu uchumi ku-rebound hasa ukizingatia kiwango kikubwa cha inflation ndani ya nchi, from an economic point of view it makes sense kwa sehemu fulani.

Inflation ina affect disposable income ambayo ina direct effect kwenye household consumption na GDP growth..
 
Toa upuuzi wako hapa, hio 5.4% imeongezeka kwenye mifuko ya walamba asali na sio kwawaalahoi BOT wawe makini.
 
Hivi aliyewadanganga kwamba inflation manake Hali ya uchumi itakuwa mbaya ni nani?

Turkey ina inflation 70% na Uchumi unakua kwa 9% ,unaweza niambai kwa Nini?

Inflation ni mbaya kwenye Nchi ambazo zimeendelea Sana kwamba Ili u employ new resources unatakiwa kubadili teknolojia ila sio kwenye Nchi zetu hizi zinazoendelea ambazo zina idele resources nyingi..

Kwenye Nchi zetu hizi tunahitaji inflation isiyozodi 10% Ili kukuza Uchumi..

Nakupa mfano mdogo hivi mkulima anayeuza mkungu 40,000 kutoka 3,000 ameongeza mapato/purchasing power au amepunguza?
 
Toa upuuzi wako hapa, hio 5.4% imeongezeka kwenye mifuko ya walamba asali na sio kwawaalahoi BOT wawe makini.
Sawa tuu kwani kuna shida? Waliopata pesa miongoni mwao ni Hawa hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-125217.png
    42.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220925-124903.png
    82.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-125002.png
    41.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-124838.png
    87.9 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-124850.png
    83.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-124816.png
    72.2 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-124754.png
    151.6 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-124730.png
    103.8 KB · Views: 8
Ukisema rebound ni another concept- inamaanisha uchumi ume-recover either from contraction or other shocks.

Kwa takwimu ulizoleta, if accurate, YES, uchumi utakuwa ume- rebound.
Yes kwa sababu last year ulikua kwa wastani WA 4.8 so kama first kota imefika 5.4% ni wazi hautapungua chini ya 5% mwaka huu maana kotanya kwanza ndio huwa base ya projection..

Ona mapato ya Halmashauri na TRA Kwa robo ya kwanza Hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-125144.png
    33 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220925-125155.png
    22.8 KB · Views: 8
Wewe Mwigulu kama unajiamini toka mafichoni uwe verified user
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nina wasiwasi izo dta nbs hawajaweka na walisema atatangaza raisi ila yeye anazo za census 2022 huyu mwigulu au makamba
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nina wasiwasi izo dta nbs hawajaweka na walisema atatangaza raisi ila yeye anazo za census 2022 huyu mwigulu au makamba
Rais atatangaza data za Uchumi aunza idadi ya watu? Acha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…