BOT: Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 5.4%. Hongera Rais Samia, hongera Comrade Mwigulu

BOT: Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 5.4%. Hongera Rais Samia, hongera Comrade Mwigulu

Hizi ni takwimu za kisiasa, hazina uhalisia
Tupe za uhalisia mkuu ikiwa exports zimeongezek,utalii umeongezeka,huduma mbalimbali zinaongezeka, makusanyo ya serikali yanaongezeka nk wewe unasema ni blaa blaa?

Saizi hadi Vijijini huko Kuna lami 👇
Screenshot_20220925-114513.png
 
Yaani utoe hela kwenye mikono ya watu kupitia tozo, hela ambazo wangetumia kununulia = reduction in purchasing power.

High inflation duniani kutokana na bei ya nishati na chakula = reduction in purchasing power

Variable zote hizo duniani zinakwambia kutakuwa na contraction ya uchumi.

Uchumi ni science events zilizopo zinabashiri hali ya uchumi. Ndio maana sidhani kama kuna nchi ina project growth zaidi ya zile ambazo serikali ina vyanzo vya nishati.

Mambo mengine ndio maana duniani tunaonekana watu wa ovyo; ata ukiangalia news za kimataifa wakizungumzia masoko ya hisa africa na E.A unaweza sikia shares za masoko ya Uganda na Kenya; lakini kamwe Tanzania is not mentioned ni kwamba data
Sasa Mzee kwani contraction ndio recession
 
Tanzania itapaa Sana kiuchumi katika uongozi huu wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani maana juhudi za mh Rais wetu mpendwa kuijenga Tanzania yetu Ni kubwa na za Kasi sana
 
Sasa Mzee kwani contraction ndio recession
Binafsi nilivyomwelewa mjibu hoja ni kwamba,

Ni ngumu uchumi ku-rebound hasa ukizingatia kiwango kikubwa cha inflation ndani ya nchi, from an economic point of view it makes sense kwa sehemu fulani.

Inflation ina affect disposable income ambayo ina direct effect kwenye household consumption na GDP growth..
 
Nawasalimu kwa jina la JMT,

Kwa mujibu wa Gavana wa BOT Prof. Luaga, uhumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 5.4% kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022 kinyume na malengo ya matarajio yaliwekwa ya ukuaji wa asilimia 4.7%.

Moja ya sekta zilizochangia ukuaji mkubwa ni kuimarika kwa sekta ya utalii.

Kwa mwendo huu "The future is bright na nchi iko kwenye right track", in Jiwe's voice.

Kongole nyingi sana kwa Rais Samia na Waziri wa Fedha Comrede Mwigulu.👇View attachment 2367489View attachment 2367490
Toa upuuzi wako hapa, hio 5.4% imeongezeka kwenye mifuko ya walamba asali na sio kwawaalahoi BOT wawe makini.
 
Binafsi nilivyomwelewa mjibu hoja ni kwamba,

Ni ngumu uchumi ku-rebound hasa ukizingatia kiwango kikubwa cha inflation ndani ya nchi, from an economic point of view in make sense kwa sehemu fulani.

Inflation ina affect disposable income ambayo ina direct effect kwenye household consumption na GDP growth..
Hivi aliyewadanganga kwamba inflation manake Hali ya uchumi itakuwa mbaya ni nani?

Turkey ina inflation 70% na Uchumi unakua kwa 9% ,unaweza niambai kwa Nini?

Inflation ni mbaya kwenye Nchi ambazo zimeendelea Sana kwamba Ili u employ new resources unatakiwa kubadili teknolojia ila sio kwenye Nchi zetu hizi zinazoendelea ambazo zina idele resources nyingi..

Kwenye Nchi zetu hizi tunahitaji inflation isiyozodi 10% Ili kukuza Uchumi..

Nakupa mfano mdogo hivi mkulima anayeuza mkungu 40,000 kutoka 3,000 ameongeza mapato/purchasing power au amepunguza?
 
Toa upuuzi wako hapa, hio 5.4% imeongezeka kwenye mifuko ya walamba asali na sio kwawaalahoi BOT wawe makini.
Sawa tuu kwani kuna shida? Waliopata pesa miongoni mwao ni Hawa hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-125217.png
    Screenshot_20220925-125217.png
    42.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220925-124903.png
    Screenshot_20220925-124903.png
    82.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-125002.png
    Screenshot_20220925-125002.png
    41.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-124838.png
    Screenshot_20220925-124838.png
    87.9 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-124850.png
    Screenshot_20220925-124850.png
    83.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-124816.png
    Screenshot_20220925-124816.png
    72.2 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-124754.png
    Screenshot_20220925-124754.png
    151.6 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-124730.png
    Screenshot_20220925-124730.png
    103.8 KB · Views: 8
Ukisema rebound ni another concept- inamaanisha uchumi ume-recover either from contraction or other shocks.

Kwa takwimu ulizoleta, if accurate, YES, uchumi utakuwa ume- rebound.
Yes kwa sababu last year ulikua kwa wastani WA 4.8 so kama first kota imefika 5.4% ni wazi hautapungua chini ya 5% mwaka huu maana kotanya kwanza ndio huwa base ya projection..

Ona mapato ya Halmashauri na TRA Kwa robo ya kwanza Hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-125144.png
    Screenshot_20220925-125144.png
    33 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220925-125155.png
    Screenshot_20220925-125155.png
    22.8 KB · Views: 8
Wewe Mwigulu kama unajiamini toka mafichoni uwe verified user
😂😂😂😂😂Nina wasiwasi izo dta nbs hawajaweka na walisema atatangaza raisi ila yeye anazo za census 2022 huyu mwigulu au makamba
 
😂😂😂😂😂Nina wasiwasi izo dta nbs hawajaweka na walisema atatangaza raisi ila yeye anazo za census 2022 huyu mwigulu au makamba
Rais atatangaza data za Uchumi aunza idadi ya watu? Acha ujinga.
 
Back
Top Bottom