The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #21
Tupe za uhalisia mkuu ikiwa exports zimeongezek,utalii umeongezeka,huduma mbalimbali zinaongezeka, makusanyo ya serikali yanaongezeka nk wewe unasema ni blaa blaa?Hizi ni takwimu za kisiasa, hazina uhalisia
Saizi hadi Vijijini huko Kuna lami 👇