Ila hiyo haiwezi kuwa sababu peke yake, ni lazima viongozi wao waliamua kubadili maisha ya wananchi. Angalia Equitoria Guinea, ina watu takribani 1.7 milioni na utajiri mkubwa kabisa wa mafuta, lakini maisha ni ya kuunga unga.Ila watu 2.5mln only with abundant resources
Daraja la mto wamiNitajie mradi mkubwa wenye faida ukiacha bwawa sio hizi taarabu zako.
Sasa ndio umeandika nini hiki mkuu.Not good resources management!
-Botswana Watu ni wachache na kipande Chao cha ardhi ni kidogo pia!
-Tanzania watu wengi, ardhi kubwa na resources nyingi zaidi
Morogoro road highway ambayo mama kizimkazi hajaimaliziaNitajie mradi mkubwa wenye faida ukiacha bwawa sio hizi taarabu zako.
Yes ,Ukiwa na watu wachache na Rasilimali na ukapata Viongozi wanaojielewa maisha yatakuwa mseleleko.Ila hiyo haiwezi kuwa sababu peke yake, ni lazima viongozi wao waliamua kubadili maisha ya wananchi. Angalia Equitoria Guinea, ina watu takribani 1.7 milioni na utajiri mkubwa kabisa wa mafuta, lakini maisha ni ya kuunga unga.
Sasa hako kabarabara kamoja tuu? Una uhakika haijaisha? Na unajua sababu ya Kuchelewa kukamilika?Morogoro road highway ambayo mama kizimkazi hajaimalizia
Hii ndio point kuu ya kuifanya Botswana ipigie hatua.Botswana na Namibia wana unafuu wa maisha kwasababu wamedhibiti rushwa na ufisadi. Wee fikiria kama CCM isingekuwa inaiba tungesave zaidi ya trillion 50 kwa mwaka. Tungelipa na kupunguza deni la taifa na kuwekeza kwenye maendeleo. Ni ufisadi rushwa na utawala mbovu tu ndo chanzo cha nchi nyingi kuwa maskini.
Huyo haijui Burundi, nchi Ina watu million 11 anasema wachache?Shida ya Burundi Iko wazi hakuna usalama na utulivu wa Kisiasa sawa na DRC , so Bado nao wanajitafuta.Rwanda Wana uhakika wa usalama na utulivu wa Kisiasa.
Wakisettle Kisiasa Burundi Ina nafasi kubwa ya kuendelea kuzidi hata Rwanda maana wanasema Ina Ardhi nzuri ya Kilimo,Madini na beaches.
Trilioni 50? ππππBotswana na Namibia wana unafuu wa maisha kwasababu wamedhibiti rushwa na ufisadi. Wee fikiria kama CCM isingekuwa inaiba tungesave zaidi ya trillion 50 kwa mwaka. Tungelipa na kupunguza deni la taifa na kuwekeza kwenye maendeleo. Ni ufisadi rushwa na utawala mbovu tu ndo chanzo cha nchi nyingi kuwa maskini.
Ndio wanaiba Trilioni 50? ππHii ndio point kuu ya kuifanya Botswana ipigie hatua.
Viongozi wake ni waaminifu na wapo pale kwa ajili ya wananchi.
Kwa mfano, kuna makala niliwahi kuisoma kuhusu maendeleo ya Botswana kwamba, nchi ile robo tatu ni jangwa ila wana madini mfano almas.
Hivyo viongozi wapo makini sana kulinda na kuhakikisha rasilimali ya madini inawaingia fedha za kigeni. Hilo wamefanikiwa.
Swali, je, Tanzania hatuna madini?
Jibu: Tanzania tunayo madini lakini tamaa na ubinafsi ya wenye dhamana ndio kikwazo cha kufanikisha madini yatutajirishe wananchi wote. Kwa mfano, mwekezaji anaweza kuja bongo na akapewa mbinu za kuiba na wabongo wenyewe.
Sijawahi kuamini kwamba mwekezaji atoke nje ya nchi aje Tanzania halafu awe na confidence ya kuiba bila kusaidiwa na Watanzania.
%0 ubinafsi wa mali...Welcome to Botswana π§πΌ
In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.
University students receive $154 in allowances monthly.
It has low debt.
It has Africa's best Police service.
It is an upper-middle-income country.
It has Africa's highest credit rating.
It is one of the safest countries in Africa.
Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.
View attachment 2961420
Sijakuelewa unamaanisha nini?Ndio wanaiba Trilioni 50? [emoji23][emoji23]
Kila Nchi hapa Duniani Ina balaa lake.Bongi hatuna Viongozi hata wale wachache wanaojitahidi hawapewi nafasi ndio kusema jamii ya Tanzania ni watu wa hovyo.%0 ubinafsi wa mali...
Jamaa amesema ccm wanaiba Trilioni 50 Kwa mwaka πππSijakuelewa unamaanisha nini?
Ingekua hivyo Basi mwanza ingekua Kama Botswana kwa maendeleo. Na Tanzania ingekua zaidi ya Botswana kwa maendeleo sababu imewazidi idadi ya watu. Watu wanauongozi mzuri kutuzidi tuache siasa tuwe wakweliTotal population is not more than 3 million. Sawa na population ya mkoa wa Mwanza
Sio alfa na omega ila ni factor ya muhimu sana sawa na hiyo ya UongoziIngekua hivyo Basi mwanza ingekua Kama Botswana kwa maendeleo. Na Tanzania ingekua zaidi ya Botswana kwa maendeleo sababu imewazidi idadi ya watu. Watu wanauongozi mzuri kutuzidi tuache siasa tuwe wakweli
burundi an example.Mbona kuna nchi zina watu wachache lkn wako dhofu bin hali.
Ohoo!Jamaa amesema ccm wanaiba Trilioni 50 Kwa mwaka [emoji16][emoji16][emoji16]
Ishu ni uongozi na uzalendo wa wananchi kwa ujumla ambapo wameamua kuijenga nchi yao.Ingekua hivyo Basi mwanza ingekua Kama Botswana kwa maendeleo. Na Tanzania ingekua zaidi ya Botswana kwa maendeleo sababu imewazidi idadi ya watu. Watu wanauongozi mzuri kutuzidi tuache siasa tuwe wakweli