Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Ila hiyo haiwezi kuwa sababu peke yake, ni lazima viongozi wao waliamua kubadili maisha ya wananchi. Angalia Equitoria Guinea, ina watu takribani 1.7 milioni na utajiri mkubwa kabisa wa mafuta, lakini maisha ni ya kuunga unga.
Yes ,Ukiwa na watu wachache na Rasilimali na ukapata Viongozi wanaojielewa maisha yatakuwa mseleleko.

Sisi Tanzania Nyerere asingefuata siasa za ujamaa tungekuwa mbali sana.

Baada ya Mwl kufariki tuka damp siasa yake Ile tumeanza upya kunitafuta hatueleweki tuliposhika.
 
Botswana na Namibia wana unafuu wa maisha kwasababu wamedhibiti rushwa na ufisadi. Wee fikiria kama CCM isingekuwa inaiba tungesave zaidi ya trillion 50 kwa mwaka. Tungelipa na kupunguza deni la taifa na kuwekeza kwenye maendeleo. Ni ufisadi rushwa na utawala mbovu tu ndo chanzo cha nchi nyingi kuwa maskini.
Hii ndio point kuu ya kuifanya Botswana ipigie hatua.

Viongozi wake ni waaminifu na wapo pale kwa ajili ya wananchi.

Kwa mfano, kuna makala niliwahi kuisoma kuhusu maendeleo ya Botswana kwamba, nchi ile robo tatu ni jangwa ila wana madini mfano almas.

Hivyo viongozi wapo makini sana kulinda na kuhakikisha rasilimali ya madini inawaingia fedha za kigeni. Hilo wamefanikiwa.

Swali, je, Tanzania hatuna madini?

Jibu: Tanzania tunayo madini lakini tamaa na ubinafsi ya wenye dhamana ndio kikwazo cha kufanikisha madini yatutajirishe wananchi wote. Kwa mfano, mwekezaji anaweza kuja bongo na akapewa mbinu za kuiba na wabongo wenyewe.

Sijawahi kuamini kwamba mwekezaji atoke nje ya nchi aje Tanzania halafu awe na confidence ya kuiba bila kusaidiwa na Watanzania.
 
Shida ya Burundi Iko wazi hakuna usalama na utulivu wa Kisiasa sawa na DRC , so Bado nao wanajitafuta.Rwanda Wana uhakika wa usalama na utulivu wa Kisiasa.

Wakisettle Kisiasa Burundi Ina nafasi kubwa ya kuendelea kuzidi hata Rwanda maana wanasema Ina Ardhi nzuri ya Kilimo,Madini na beaches.
Huyo haijui Burundi, nchi Ina watu million 11 anasema wachache?
 
Botswana na Namibia wana unafuu wa maisha kwasababu wamedhibiti rushwa na ufisadi. Wee fikiria kama CCM isingekuwa inaiba tungesave zaidi ya trillion 50 kwa mwaka. Tungelipa na kupunguza deni la taifa na kuwekeza kwenye maendeleo. Ni ufisadi rushwa na utawala mbovu tu ndo chanzo cha nchi nyingi kuwa maskini.
Trilioni 50? 😁😁😁😁
 
Hii ndio point kuu ya kuifanya Botswana ipigie hatua.

Viongozi wake ni waaminifu na wapo pale kwa ajili ya wananchi.

Kwa mfano, kuna makala niliwahi kuisoma kuhusu maendeleo ya Botswana kwamba, nchi ile robo tatu ni jangwa ila wana madini mfano almas.

Hivyo viongozi wapo makini sana kulinda na kuhakikisha rasilimali ya madini inawaingia fedha za kigeni. Hilo wamefanikiwa.

Swali, je, Tanzania hatuna madini?

Jibu: Tanzania tunayo madini lakini tamaa na ubinafsi ya wenye dhamana ndio kikwazo cha kufanikisha madini yatutajirishe wananchi wote. Kwa mfano, mwekezaji anaweza kuja bongo na akapewa mbinu za kuiba na wabongo wenyewe.

Sijawahi kuamini kwamba mwekezaji atoke nje ya nchi aje Tanzania halafu awe na confidence ya kuiba bila kusaidiwa na Watanzania.
Ndio wanaiba Trilioni 50? 😂😂
 
Welcome to Botswana 🇧🇼

In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.

University students receive $154 in allowances monthly.

It has low debt.

It has Africa's best Police service.

It is an upper-middle-income country.

It has Africa's highest credit rating.

It is one of the safest countries in Africa.

Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.

View attachment 2961420
%0 ubinafsi wa mali...
 
%0 ubinafsi wa mali...
Kila Nchi hapa Duniani Ina balaa lake.Bongi hatuna Viongozi hata wale wachache wanaojitahidi hawapewi nafasi ndio kusema jamii ya Tanzania ni watu wa hovyo.

So Kwa mantiki hiyo ni mapunguani tuu ndio watategemea wanaitwa viongozi wa Kisiasa kuwabadilishia maisha Yao badala ya kukomaa mwenyewe.
 
Ingekua hivyo Basi mwanza ingekua Kama Botswana kwa maendeleo. Na Tanzania ingekua zaidi ya Botswana kwa maendeleo sababu imewazidi idadi ya watu. Watu wanauongozi mzuri kutuzidi tuache siasa tuwe wakweli
Ishu ni uongozi na uzalendo wa wananchi kwa ujumla ambapo wameamua kuijenga nchi yao.

Watu wanatakiwa waelewe Botswana robo tatu ni jangwa ila wana madini na wanayasimamia kikamilifu kuingiza pato la taifa.

Tanzania ina rasilimali nyingi sana lakini tamaa na ubinafsi wa Watanzania ndio kikwazo cha maendeleo
 
Jamaa yaani asilimia hamsini ya dhahabu inaingia kwenye bajeti. Wana kaampuni moja ndio ina deal na dhahabu na wamegawana 50:50, ila hamsini yao yote inaingia kwenye dhahabu.

Swala la wafanyakazi, lipo kimtaa, yaani mtaa ndio una present wafanyakazi husika hivo hamna upigaji.

Wana watchdog Institute yao hiyo ipo international, huibi hata sukari utajikuta ndani. Yaani hakuna rushwa hakuna wizi wa pesa za wanachi, kila kitu kimenyooka.

Plus idadi ya wananchi wao ni rahisi sana kucontrol, hawako scattered sana, everything is centred.

Ila sasa ukimwi mamamaqe. Ukimwi botswana kama unavyokutana na gari aina ya IST bongo.

Ili sisi tuweze kama botswana, inabidi Nchi izime week nzima. Mipango yote iwe centred.

Mbilingi, mbambambaa, mbelekenye , maneno yasiwe mengi.
Alafu Inakuja institute kutoka nje ndio iwe watchdog wa wizi.

Ila pia tuwe na uhakika wa utokaji wa bidhaa zetu haswa petroli, Gas, hela ya utalii, ila hili pia litafanya tusiwe naa uhuru mkubwa sana kama tulionao. Tutapata sana magonjwa kama ukimwi maaana tutakua centred.

Na kuna mengi sana itabidi yafanyike. Of which kwa wingi wetu nadhani tutalia.
 
Back
Top Bottom