rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Botswana wanatumia wataalamu wengi kutoka Tanzania tatizo kwetu ni uongozi.Ukizichunguza hizo nchi utakuta miongoni mwa raia wake kuna wazungu wengi hasa Namibia,wangekuwa wamatumbi pure yao wasingekuwa na status hiyo
Ila huwa tunajidanganya sana sana. Sisi hamna kitu kabisa!Acha kujilisha upepo.
Kichwa chako hakina uwezo wa kufikiri zaidi ya kuokota okota hivi vitaarifa??
Ila huwa tunajidanganya sana sana. Sisi hamna kitu kabisa!
We mbwa usiite nchi yetu tanzagiza, suala la GDP inatokana na idadi ya watu, hizo nchi Botswana na Namibia wana raia wachache sana. Hata hivyo we mpumbavu hakuna mashindano we pambana na umaskini wako binafsigdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,
Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd
richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi karibia 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi? hawana (uganda) dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...
Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
Ukweli mchungu lakini ndio kweli yenyewe. Haiwezekani Tz yenye kila kitu tena vya muhimu sana kuliko nchi nyingi duniani iwe masikini kiasi hiki. Tz tuna bandali maarufu zaidi ya mbili, tuna Tanzanite pekee dunia nzima, mlima kilimajaro,mbuga za wanyama kubwa na maarufu duniani,dhahabu na almasi usiseme na madini mengine yote alimaarufu duniani tz yapo,gas asilia na aridhi nzuri kwa kilimo usiseme. Mungu tumwombe nini ambacho hatuna zaidi ya kutokujitambua tu.Ama kweli kwenye miti hamna wajenzi.Halafu watakuja kukwambia uchumi wa tz unakuwa kwa kasi
Kuna tofauti ya kuwa na kila kitu na kugawa bure bure hibyo vitu, ili upate uchumi wa kwenye makaratasi.Ukweli mchungu lakini ndio kweli yenyewe. Haiwezekani Tz yenye kila kitu tena vya muhimu sana kuliko nchi nyingi duniani iwe masikini kiasi hiki. Tz tuna bandali maarufu zaidi ya mbili, tuna Tanzanite pekee dunia nzima, mlima kilimajaro,mbuga za wanyama kubwa na maarufu duniani,dhahabu na almasi usiseme na madini mengine yote alimaarufu duniani tz yapo,gas asilia na aridhi nzuri kwa kilimo usiseme. Mungu tumwombe nini ambacho hatuna zaidi ya kutokujitambua tu.Ama kweli kwenye miti hamna wajenzi.
Angalia Zambia wana nini cha mno kuliko tz?? Copper na madini mengine kidogo waliyonayo??? Angalia fedha yao ilivyo nathamani Kenya ni cha mtoto. Sababu gani inakuwa hivyo wamepanga vizuri usimamizi mzuri wa uchumi wa nchi yao.
Mambo ni mengi ila tutafika tukiwa tumechoka sana.