Botswana ndio wamechagua huyu wakamuacha Progressive Masisi?! Majanga matupu

Botswana ndio wamechagua huyu wakamuacha Progressive Masisi?! Majanga matupu

Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment .
View attachment 3147305
View attachment 3147306
Masisi alifanya ujinga yule. Alimwekea bifu la kijinga his predecessor one of the Botswana's best ever for nothing.
 
Hotuba ya Putin ina kuhusu sana,

Mnalilia demokrasia kila siku humu, demokrasia ikifanya mambo yake mnaanza Kulalamika tena.
Mimi ni muumini wa demokrasia bila kujali matokeo ya demokrasia, kulalamika au kukosoa matokeo ya demokrasia sio sawa na kuichukuia demokrasia, hakuna mbadala wa demokrasia, bora wendawazimu wapatikane kwa njia ya demokrasia kuliko wenye akili timamu wanaopatikana kwa udikteta/uimla.
 
Masisi alifanya ujinga yule. Alimwekea bifu la kijinga his predecessor one of the Botswana's best ever for nothing.
Ni kweli mkuu Ian Khama alikuwa mmoja wa marais bora wa bara la Africa, ndio Rais pekee alikuwa anaweza kuwapa makavu madikteta wa Africa kama Mugabe, hata vikao vya AU alikuwa haendi mara nyingi anasema ni kupoteza muda tu, alimaliza kabisa uwindaji haramu Botswana. Nilishangaa sana Masisi kuanza kumsumbua na kumfanyia harassment za kipuuzi baada ya kuondoka madarakani na wakati alikuwa na mchango mkubwa sana yeye kuupata urais wenyewe.

Hata huyu Masisi alikuwa ni mmoja wa mawaziri bora wa Ian Khama ndio maana akamu endorse kwa urais, sijui walikuja kukorofishana katika mambo gani baadaye hadi Khama akakimbia nchi kukimbilia Africa Kusini!
 
Inawezekana nimepotoka mkuu, labda unaweza kunionyesha picha ya mwanaume huko Botswana akiwa amempigia mwanaume mwenzake magoti wakati wanasalimiana.
Kwani wapi ninesema wanaume wa Botswana wanawapigia magoti wanaume wenzao?

Hili ni suala la utamaduni wao, wanaufanya kwa hiyari yao, wewe kwa nini unataka kuwaondolea utamaduni wao?

Utataka na wanaume wanaooa wake wengi kwa utamaduni wao nao wasioe hivyo kwa sababu ya usawa wa wanawake?
 
Umeniuliza swali "umejuaje swala hapo ni mwanamke", mimi nimejibu kwa muktadha huo tu, sijajielekeza kwamba wanaufanya kwa hiyari au kwa kulazimishwa, sijasema nataka kuwaondolea utamaduni wao na pia sijataka kuwa na interest na tamaduni zao nyingine kwa sasa kama hizo za kuoa wanawake wengi(ikiwa kweli kama ni moja ya tamaduni zao)
 
Ni kweli mkuu Ian Khama alikuwa mmoja wa marais bora wa bara la Africa, ndio Rais pekee alikuwa anaweza kuwapa makavu madikteta wa Africa kama Mugabe, hata vikao vya AU alikuwa haendi mara nyingi anasema ni kupoteza muda tu, alimaliza kabisa uwindaji haramu Botswana. Nilishangaa sana Masisi kuanza kumsumbua na kumfanyia harassment za kipuuzi baada ya kuondoka madarakani na wakati alikuwa na mchango mkubwa sana yeye kuupata urais wenyewe.
General Ian Khama with British ancestry to put it clear.
 
Umeniuliza swali "umejuaje swala hapo ni mwanamke", mimi nimejibu kwa muktadha huo tu, sijajielekeza kwamba wanaufanya kwa hiyari au kwa kulazimishwa, sijasema nataka kuwaondolea utamaduni wao na pia sijataka kuwa na interest na tamaduni zao nyingine kwa sasa kama hizo za kuoa wanawake wengi(ikiwa kweli kama ni moja ya tamaduni zao)
Hujataka kuwa na interest na tamaduni zao nyingine ila unataka kuwapangia ceremonies zao?

Do you know how ignorant that sounds?
 
Mkuu Yoda mimi sizijui sana Politics za Botswana unaweza ukatuekezea kwa upana kuhusu huyu Raisi mteule?!
Kulikuwa na tuhuma na kashfa nzitonzito kwa serikali, tuhuma ambazo ni very accurate na hazijatoka serikalini kuna watu wa nje wamehusika kuzisambaza.

Kuna msaada wa taarifa sahihi, kashfa, mbinu na mambo mengine ambavyo huyu mshindi alipata kutoka watu wa nje na haijulikani kwanini walikuwa wanampigia chapuo sana. Tumpe muda huyu mwanasheria msomi wa Harvard
ff2df8e0-9d42-11ef-8538-e1655f5a8342.jpg.jpeg
 
Punguza kimbelembele kwenye mambo usiyoyajua. a kwako yamekushinda umekimbilia Botswana. Shida ipo wapi kwa mke kumpigia magoti Mme wake Kama ishara ya heshima na tamaduni?.
 
Punguza kimbelembele kwenye mambo usiyoyajua. a kwako yamekushinda umekimbilia Botswana. Shida ipo wapi kwa mke kumpigia magoti Mme wake Kama ishara ya heshima na tamaduni?.
 
Attachments

  • IMG_20241102_154822.jpg
    IMG_20241102_154822.jpg
    548.5 KB · Views: 1
Hata sisi hapa tulikuwa na tamaduni za kuketa watoto wa kike ili wasiwe na matamanio ya ngono, kuna tamaduni ni za hovyo na kutupiliwa mbali katika dustbin la historia.
Nani alikwambia kukeketa wanawake ni utamaduni wa hovyo? Wazungu wao ndio huwa wanapinga vyetu na tunawasikiliza. Walikataa dini zetu za asili tukakubali tukasema za hovyo tikafuata dini zao.

Kukeketa hakuna tatizo, ni kama kutoboa masikio, au kuchonga meno.

Leo hii wazungu wana NGO zinapinga kukeketa wanawake na hao hao wazungu wana NGO zinatetea USHOGA, Sisi tunapokataa USHOGA wanajitahidi hata kwa mlango wa nyuma TUUKUBALI mbona sisi NGO zetu haziko ulaya na marekani KUPINGA ushoga?

Kukeketa hakuna tatizo waulize wanawake waliokeketwa, hawana shida yoyote, ni Wazungu tu wanatuaminisha kwamba ni vibaya kuwakeketa wanawake zetu, wao wanachora tatoo mwili mzima hatusemi, wanatoboa vitovu, ulimi, hadi papuchi zao wanazivalisha bangili hatusemi, lakini wao wanaona boliti machoni pawenzao.
 
Back
Top Bottom