MUBENDE
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 1,111
- 1,879
Kwakweli bado tunasafari ndefu sana maana kila uchao bado tuna ngangana na kuwatisha watu ili mabadiliko yasifanyike duh!Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment.
View attachment 3147305
View attachment 3147306