Kwakweli bado tunasafari ndefu sana maana kila uchao bado tuna ngangana na kuwatisha watu ili mabadiliko yasifanyike duh!Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment.
View attachment 3147305
View attachment 3147306
Mimi ni mtumishi... Unaweza ukaona "ukali" katika michango mbalimbali ....Nimeishi katika Imani kubwa ...Nimeishi Islamic . Nimeishi Christianity....ambacho naamini ni kuwa ... Sisi sote ni viumbe... Wote...tumeumbwa naye.... Ili niwaulize vizuri wenzangu wa Imani tofauti ambayo nimeamua kuiishi... being Pagan....ilikuwaje Musa kutembeza muda wote kwenye maji ndani ya kile kilichombeba!? ..umbali wote ule mpaka kuokotwa na Binti mfalme!!. Nani ni Ni mama wa Musa . Na Binti mfalme aliyemuokota Musa anaitwa nani!??...nimekaa paleee nasubiri majibu....Inaumiza sana watu kuwa walafi mpaka wanajisahau kwakweli, ikifika wakati wakutoka watoke tu.