BOXING: Michael Soro amchapa kwa TKO Hassan Mwakinyo. Pambano limechezwa Parc Des Expositions, Abidjan, Ivory Coast. Juni 11, 2026

BOXING: Michael Soro amchapa kwa TKO Hassan Mwakinyo. Pambano limechezwa Parc Des Expositions, Abidjan, Ivory Coast. Juni 11, 2026

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Wapiganaji:

· Michel Soro (Ufaransa): Rekodi 38-4-2, 27 KOs. Mtaani hujulikana kama "mkongwe", na amewahi kupigania ubingwa wa WBO miaka iliyopita.
·
Hassan Mwakinyo (Tanzania): Rekodi 25-3-0, 18 KOs. Anajulikana kwa ushindi wake wa kushtua dhidi ya Sam Eggington, na amekuwa mshindi wa mabao yake yote tangu apoteze Kwa Liam Smith mwaka 2022.

· Ukumbi wa pambano: Parc Des Expositions, Abidjan, Côte d'Ivoire (Ivory Coast).
· Sababu: Ubingwa wa IBO (International Boxing Organization) ulio wazi.

Muhtasari wa Utangulizi:

Leo usiku, ni ushindi wa hadhi na kuheshimika. Michel Soro, mwenye umri wa miaka 38, anataka kuthibitisha ya kwamba bado yupo kwenye ngazi ya ubingwa baada ya kuwa na rekodi nzuri na mabingwa wengine. Kwa upande mwingine, Hassan Mwakinyo (31) ana nafasi ya kujengea rekodi yake kubwa zaidi, na anatetea heshima ya ngumi za Tanzania.

==================
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo leo Juni 11, 2026 amepanda ulingoni Abidjan Nchini Ivory Coast kuwania mkanda wa IBO katika pambano la round 12 dhidi ya Bondia Michel Soro raia wa Ivory Coast na Ufaransa.

Mwakinyo katika pambano hilo la round 12 la uzito wa middleweight, amepoteza kwa kupigwa kwa TKO round ya 9 na kufanya pambano hilo kuwa pambano lake la tatu kuwahi kupoteza kwa KO.

Hili linakuwa pambano la 4 kwa Hassan Mwakinyo, Moja akipigwa kwa point na matatu kwa KO.

Michel Soro leo amepigana pambano lake la 45, amefanikiwa kushinda kwa KO kwa mara ya 28, akipoteza mara 4 na ametoka sare mara 2.
 
IMG_20260611_002133.jpg

Matumla huyu bondia mkali sana ananikumbusha enzi za baba yake snake boy
 
Back
Top Bottom