spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Anapiga had Alis Shuffle
Amenyimwa ushindi, ila huyu abdul miyeyusho 😆, chini mara 4View attachment 3605407
Matumla huyu bondia mkali sana ananikumbusha enzi za baba yake snake boy
Hamna kitu 🤣View attachment 3605412Bondia wetu amebadilika round hizi 😂😂😂
Anapiga had Alis Shuffle
anamkaribisha sanaMwakinyo hatoboi
Mwakinyo akikaa Vibaya anapigwa..Champez never dissapoint
Draw ugenini 😆, Ikiisha hivihivi basi mwakinyo anapoteza,Kwa fight inavoenda Mwakinyo akishinda basi amepata draw
Soro ana nguvu na stamina..Kwa fight inavoenda Mwakinyo akishinda basi amepata draw
Rounds bado si ulimuona abdul wa mafia katikati kama alikuja hivi sema kichwa chake cha bata kama MandongaDraw ugenini 😆, Ikiisha hivihivi basi mwakinyo anapoteza,
Mwakinyo naona ana ngumi nyepesi sana, asipobadilika tunapigwaB
Rounds bado si ulimuona abdul wa mafia katikati kama alikuja hivi sema kichwa chake cha bata kama Mandonga