BOXING: Michael Soro amchapa kwa TKO Hassan Mwakinyo. Pambano limechezwa Parc Des Expositions, Abidjan, Ivory Coast. Juni 11, 2026

BOXING: Michael Soro amchapa kwa TKO Hassan Mwakinyo. Pambano limechezwa Parc Des Expositions, Abidjan, Ivory Coast. Juni 11, 2026

Acha mturuki anipayukie tu hela ngumu aisee
Hii fight ya mwakinyo ntaitumia kuwaasa madogo kesho
 
Sasa champeez aache kuongea ongea awaache wanaoruka ruka watambe tumeona dhahiri na yeye wale wale
 
IMG_20260611_022742.jpg
Huyu mwamba bongo hamna wa kucheza nae hapa hata Asemahle hatoboi
 
Wanajamii Forums Hassani Mwakinyo Kapigwa na Soro, Mwakinyo ameonekana hana fitness ya Kupigana kutokana na Dharau zake za kutokupigana na Watanzania hivyo alikua mzito kweli na kapigwa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom