mwaibile
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,136
- 5,175
Mtu kapigwa champez bongo akaimbe taarabu sasaImekuaje huko
Mtu kapigwa champez bongo akaimbe taarabu sasaImekuaje huko
Sema hili jamaa hakuna wa kucheza naeDogo alilewa sifa hata mfaume mfaume atafurahi sana
Round ya ngapiMtu kapigwa champez bongo akaimbe taarabu sasa
Mwakinyo kapelekewa moto had akawa anataka kutoka ulingoni, alishindwa kabisa kujilinda , refa ikabidi amalize pambano..Imekuaje huko
Yaa huyo ni international professional boxing kweli kafika hapo siyo kwa kubebwaSema hili jamaa hakuna wa kucheza nae
Ni bondia kweli
Duh! Namuonea huruma alivyo na maadui wengi vicheko kila konaMwakinyo kapelekewa moto had akawa abataka kutoka ulingoni, alishindwa kabisa kujilinda , refs ikabidi amalize pambano..
Sanaa yani ni kama Professional vs amateurYaa huyo ni international professional boxing kweli kafika hapo siyo kwa kubebwa
Yes ukiwa una brag kama Goat Ali lazima ujue inakugharimuDuh! Namuonea huruma alivyo na maadui wengi vicheko kila kona
Aludi nyumbani sasa shida kaitaka yeye kupenda kupewa mabondia ndizi walevi sasa akabwetekaSanaa yani ni kama Professional vs amateur
Gap kubwa mno hatumuwez huyu
Mwakinyo sijui nini kimemkuta.. Hii sio performance yake kabisa..Duh! Namuonea huruma alivyo na maadui wengi vicheko kila kona
Hata at his best mimi sioni angetokaje leo pale yule jamaa mtu sanaMwakinyo sijui nini kimemkuta.. Hii sio performance yake kabisa..
Oyaaa 🤣Huyu refa anaonekana ana vijana rika la mwakinyo ndo mana kamuokoa alitakiwa atulie kidogo tuone kajuisi bondia kutwa kukimbia kimbia tu kama kware ulingoni
Kapigwa TKO kizembe sana mkuu.. Angekomaa hata akampa ushindi kwa point..Hata at his best mimi sioni angetokaje leo pale yule jamaa mtu sana
Wafuate ushauri wa Idi Amin—win by knock out!Watanzania wanapigwa kwa hujuma,sijaelewa huyu mfaransa kashindaje kwa dogo matumla wakati ngumi nzito kampaaaaaa
Hivi millardayo siku hizi hapost kila kitu?Kapigwa TKO kizembe sana mkuu.. Angekomaa hata akampa ushindi kwa point..