Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Overconfidence ni recipe ya anguko!Wanajamii Forums Hassani Mwakinyo Kapigwa na Soro, Mwakinyo ameonekana hana fitness ya Kupigana kutokana na Dharau zake za kutokupigana na Watanzania hivyo alikua mzito kweli na kapigwa kweli kweli.
Wapo slow ..Hivi millardayo siku hizi hapost kila kitu?
Mpaka sasa naona kimya nimeingia nakuta habari za Ccm tu
Huwa wanapewa dawa baada ya pambano?Wapo slow ..
Daah, Mwakinyo amevimba uso.. Rivals wake baadae wataongea sana..
Mimi niliona mwili wake kipindi wanapima uzito nikaona kuna kitu hakipo sawa.. Sijui hata yeye kama alijitambuaMwakinyo hata kichwan nahisi hayuko poa, ameingia hajiamin kabisa, sidhani kama alijifua vilivyo, mwili umezoofu
Ndio wanapata matibabu..Huwa wanapewa dawa baada ya pambano?
Boxing naona ni hatari kwa afya, wanalipwa kiasi gani
Bora kaweka kiwango kizuri cha pesaNdio wanapata matibabu..
Nilimsikia Mwakinyo akisema hachezi chini ya milioni 100 Tshs..
Sijui kuhusu hili pambano lakini alisema kwa Tanzania hachezi ngumi below 100 Mils.. Inawezekana kalipwa vizuri zaidi ya hapo..Bora kaweka kiwango kizuri cha pesa
Yaan milard Ayo ndio chanzo chako cha habari pekee? BadilikaHivi millardayo siku hizi hapost kila kitu?
Mpaka sasa naona kimya nimeingia nakuta habari za Ccm tu
Naona ndo umeamkaYaan milard Ayo ndio chanzo chako cha habari pekee? Badilika
Niliumia sana mkongo man Eric Tshimanga Katompa alivyonyimwa ushindi wake dhidi ya yule mjeda. Tangu pale boxing ya bongo siifatilii tenaNasikia Mwizi akiibiwa anaumia sana 😁
mimi tangu yule dogo wa south ambonde mjeda af wakaamua et pambano sare niliamua kufocus na mambo yangu
Kapigwa technically knockoutMwakinyo akikaa Vibaya anapigwa..
Bora kapigwa angetusengenya sana watanzaniaMwakinyo sijui nini kimemkuta.. Hii sio performance yake kabisa..
ila mwenzenu huyo wa upinzani mchadema mwaminifuBora kapigwa angetusengenya sana watanzania
Mwakinyo atajipanga atarudi..Bora kapigwa angetusengenya sana watanzania
Knockout ya mamaLingefanyikia Dar huyo Mwakinyo angetangazwa bingwa.
Hapa tunaongelea mwakinyo mambo ya CHADEMA yanatoka wapi tenaila mwenzenu huyo wa upinzani mchadema mwaminifu