"Boys 2 Men", kwanini msiiache Tanzania ipumue?

Bora boys 2 men kuliko Sukuma gang
Boys 2 men tuliishi vizuri watoto Shule za mana tulijenga tulinujua V8 kwa pesa zetu
Omba korona iishe tu otherwise kipindi hiki cha boys to men ndo utakula msoto maradufu kuliko hata hizo zama za jiwe [emoji23]
 
Mkuu umeongea neno la maana, kila ulichosema ndivyo kilivyo hasa, nilitamani kusikia watu wanasema ukweli kamili kama huu lakini watanzania ni wanafiki , wanaona ila wanazungukazunguka ukweli, ndio maana kujikomboa nchi hii ni tabu sana,
 
SOMA THREAD HII:

"SERIKALI NA MWAROBAINI WA MATATIZO YETU "

Jukwaa la siasa.
 
Huu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.

Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.
Kuweka kumbukumbu sawa hapa.
Tanzania ilikuwa maskini wa kutupwa kabla ya JK kuingia madarakani, ikaendelea kuwa maskini wa kutupwa wakati JK akiwa madarakani na imeendelea kuwa maskini wa kutupwa hata baada ya JK kuondoka madarakani.

Kwa kifupi sana, chini ya CCM Tanzania imeendelea kuwa maskini wa kutupwa tu. Mchawi hapa ni CCM. Bila kuiondoa CCM madarakani, Tanzania itabakia kuwa maskini milele.

Ujinga, unyonge na umaskini ndio mtaji na matunda ya kuwepo CCM madarakani hapa Tz.
 
Tumechelewa kwasasa, Naamin tulimsema vibaya Magufuli pasi kujua, hatukulinda ipasavyo John, Ni John ndo angeweza kuwepo mpaka uchaguzi wa 2025 ndo angeweza kuwafuta rasmi kwa kumleta mtu ambae angekuwa against na wao ila kwasasa tumechelewa.
Mkuu ukweli ndio huo,
 
Tanzania itakuwa huru hadi pale kizazi cha tanu kifutike chote kipindi ambacho generation Z ndio watakuwa senior citizens
Generation Z wanazaliwa na nani mkuu? Nao watafundishwa na wazazi wao na watayaendeleza,huu utumwa hauwezi kuja kuisha
 
CCM ni ukoo hatari sana kwa nchi hii. Wamejiundia kamfumo wale vinono huko.
 
Hivi Lau Marsha Mzee wa nombe aliyekatwa mkia na ndege kwareeee? Yuko wapi?
 
hivi kwa sasa babu Lowassa ana chochote kule Chamani
 
Ni bora "Boys 2 Men" kuliko Magu..lile lilikuwa ni pepo. Afadhali aliyeliondoa
 
Tunawasubiri sukuma GANG muanze kutamka katiba mpya, mnakigugumizi sana.
Ila mtaongea tu siku moja kwa sauti katiba mpya.
Alipokuwepo Magu hawakutaka katiba mpya...kwa mziki wa Msoga soon wataanza na wenyewe kulilia katiba mpya. Majinga sana haya mapunda yanayoitwa sukuma Gang
 
Sukuma gang= uchawi, ulevi, umalaya, ujambazi, ulafi, ukatili, uchafu, uwizi , chuki, udhulmati na uonevu
Umesahau uuaji.mndio sifa yao kubwa, wakishirikiana na "watu wasiojulikana" ambao wanajulikana sasaiv
 
hawa ndo watafiwa na ccm mikonon na wataish maisha magumu sana kisiasa
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…