"Boys 2 Men", kwanini msiiache Tanzania ipumue?

Dawa ni kuipiga chini CCM, miaka zaidi ya 60 kila siku ni porojo tu! Tuwape wengine nao wakizingua wapigwe chini! Ccm wamejipa hatikiliki ya nchi hii kwa hiyo wanafanya watakavyo! Ndio mana wanafunga watu kwa ajili ya kutetea katiba mpya!
UKISHA IPIGA CHINI CCM HALAFU UNAWAPA CHAMA GANI???? WENYE UCHUNGU NA TZ
 
Huu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.

Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.
Hasa huyu mtoto mwenye hizi lake oil
 
Ukifikiria sana mambo ufisadi yanayofanyika nchi hii unaweza jikuta unapata kiharusi.
 
Ukifikiria sana mambo ufisadi yanayofanyika nchi hii unaweza jikuta unapata kiharusi.
Yani inakuwaje nchi ina watu wanapanga kufika juu ili wapige pesa?
 
uroho tu wa madaraka ndio unaowasumbua....huwa napataga sana tabu nikiwafikiriaga huenda labda wenzangu mnaweza mkawa na jibu la kuniridhisha....hivi hao jamaa wakiachana na siasa za bongo wanahisi watakufa njaaa au kitu gan?
 
Huu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.

Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.
Dawa kunda LosPepes, wamalizwe 1 by 1.
 
Kuna mtu ataibuka tu siku za usoni.....tena atotoka kulekule supreme leaders wa nchi yetu wanakotokeaga.....atakuja na utashangaa sana
Sasa hivi itachukua miaka tena kama 20 hivi...
 
uroho tu wa madaraka ndio unaowasumbua....huwa napataga sana tabu nikiwafikiriaga huenda labda wenzangu mnaweza mkawa na jibu la kuniridhisha....hivi hao jamaa wakiachana na siasa za bongo wanahisi watakufa njaaa au kitu gan?
Hili swali umeuliza la muhimu sana. Naongezea: Inakuwaje mtu awaze kuishi Kwa siasa tu, akimaliza yeye, anataka jamaa yake ashike, mtoto wa jamaa yake ashike, Mke wake ashike, Yani hivi bila mkondo wa kisiasa wao hawaishi? Je, hawaoni wanabana vipaji vingine kujitokeza kuongoza?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…