Mtoto wa Nyerere
Senior Member
- May 21, 2021
- 129
- 689
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.
Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.
Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shilingi 300 jua waliopanga Bei iwe hivyo ni boys to men.
Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.
Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.
Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita CCM leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.
Lowassa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata Mbowe na kumuweka ndani?
Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.
Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.
Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.
Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.
Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.
Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.
Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.
Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.
Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.
Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.
Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.
R.I.P Nyerere na Magufuli.