Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Mungu hujibu kwakutufundisha kwanza maana anajua kwamba wanadamu ni wanafiki hasa watanzania, Mungu anapenda wanyenyekevu na wanao ishi kwakumpendeza, pale tunapo abudu watu anatujibu kwa kuwaweka pembeni kwanjia zinazompendeza yeyeKwani huyu Mungu hayaoni yote haya??? Kwanini anaacha watu wateseke ajili ya watu wachache.