Boys to men ya 1995 wamerudi, tujipange

Boys to men ya 1995 wamerudi, tujipange

Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.

Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.

Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shiling 300 jua waliopanga Bei iwe ivyo ni boys to men.

Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.

Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.

Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita ccm leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.

Lowaasa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata mbowe na kumuweka ndani?

Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.

Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.

Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.

Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.

Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.

Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.

Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.

Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.

Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.

Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.

Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.

R.I.P Nyerere na Magufuli.
Umeturudisha kwenye simanzi mwandishi wa Makala hii. Tunakoelekea bwawa la Mwalimu hati hati kuwekwa pembeni. Ati bandari ya Bwagamoyo tena. Ehhhhh jamani
 
Kwanza Team Mwendazake hawawezi kuthubutu kufanya lolote maana wanajua tuna mafaili yao ya ile Til.1 ya Assad,Bil.600 za uviko 19,Mabilioni waliyochota alipokufa na kashfa kibao kwenye ndege,sgr na stiglaz..

Hizo ni baadhi tuu bado hujaguza Tanroads na Mayanga,bandari nk ..

Hawa wa humu ni wajinga tuu wasio na cheo chochote wale wanaitwa bendera fuata upepo ila wenyewe waliofaidi kamwe hawawezi nyanyua mdomo..
Haya jamani kila zama na kitabu chake. Acha lizame
 
Team Magufuli mnahangaika sana wakati watu wakiwaandika vibaya Mlikua mnawapoteza eti saiv mmegeuka watetezi wa wananchi wakati Mlikua mnapiga hela huku mnanyamazisha vyombo vya habari mnaua watu mnafilisi watu na madini mkampa kagame akawapiga nyie sio watu msizani watanzania ni wajinga

Shidah ya ulevi wa Konyagi Na msongo wa kutokuwa Na ajira huu! Tatzo umezoea misheni town ndo madhara haya, unashindwa kuona kesho ya Taifa lako ikoje! Magu hayupo tena achana nae
 
Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.
Kuna kipindi wikileaks walivujisha taarifa za Lowassa kuwa na mkono kwenye kifo cha Nyerere
 
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.

Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.

Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shilingi 300 jua waliopanga Bei iwe hivyo ni boys to men.

Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.

Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.

Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita CCM leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.

Lowassa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata Mbowe na kumuweka ndani?

Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.

Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.

Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.

Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.

Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.

Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.

Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.

Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.

Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.

Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.

Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.

R.I.P Nyerere na Magufuli.

IMG-20210927-WA0030.jpg
 
Attachments

  • VID-20210927-WA0008.mp4
    2.1 MB
Mtatunga sana nadharia zenu mwaka huu!

Eti Magufuli alidhibiti Wizi? Wizi upi alizibiti?
Alupeleka wapi Trilion 1.5? Prof Assad alivyoibua hoja Alimfanyaje?

Watasema pia alikuwa mnyenyekevu na mchakato Mungu.

Hiiiiii bagosha!
 
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.

Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.

Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shilingi 300 jua waliopanga Bei iwe hivyo ni boys to men.

Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.

Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.

Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita CCM leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.

Lowassa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata Mbowe na kumuweka ndani?

Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.

Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.

Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.

Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.

Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.

Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.

Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.

Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.

Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.

Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.

Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.

R.I.P Nyerere na Magufuli.
Haya ni matatizo ya akili.

The fear of unknown.

Yaani unakaa unabuni vijineno neno vya kufikirika halafu unaanza kuogopa mwenyewe🤣
 
Kwani huyu Mungu hayaoni yote haya??? Kwanini anaacha watu wateseke ajili ya watu wachache.
Ona sasa hisia kali zimekuingia kwa nadharia tu.hata vitu vyinavyoandikwa na mtu kahisi tu yeye wewe umeshamwamini tayari.mifumo ya uchukuaji wa pesa serikalini sio rahisi kihivyo kama zamani mkuu.
 
We mbwa watu wanaongea hoja za maana wewe unaleta mambo yako ya team mange na team zari the boss lady shanzy kabisa.
Hoja gani za maana hizi mtu anaandika kwa hisia zake tu unasema hoja za maana
 
Team Magufuli mnahangaika sana wakati watu wakiwaandika vibaya Mlikua mnawapoteza eti saiv mmegeuka watetezi wa wananchi wakati Mlikua mnapiga hela huku mnanyamazisha vyombo vya habari mnaua watu mnafilisi watu na madini mkampa kagame akawapiga nyie sio watu msizani watanzania ni wajinga
Shida zilizokuwapo kwa magufuli sio shida zilizopo kwa sasa,
Maneno ni mengi utekerezaji 0
Sida iko hapo wanasema pesa inataoka lakini kitaaa watu wanakoda tu.
N8 bora kuishi kwa kukwepana na risasi kisha ukipata muda unatafuna kuku n a nyama choma kuliko kuishi bila bughudha kisha kila unapoamka hujui unakoelekea na afya zinadhoofu,

huku kuna ka kikundi eti kanashangilia kila siku kanamwaga na bia na kuzitapika kwao zimewazidi.
 
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.

Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.

Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shilingi 300 jua waliopanga Bei iwe hivyo ni boys to men.

Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.

Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.

Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita CCM leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.

Lowassa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata Mbowe na kumuweka ndani?

Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.

Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.

Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.

Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.

Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.

Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.

Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.

Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.

Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.

Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.

Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.

R.I.P Nyerere na Magufuli.
Hayo ni Porojo yako.
 
JPM alijaza watu waadilifu Sana Tanesco ndio maana Hakuna harufu ya Ufisadi. Tunakoenda Ni kubaya zaidi..Kuna watu wanaenda kujiimarisha kifedha ,kusuka mtandao for coming elections, ubadhilifu, mikataba mibovu, kesi za kuwalipa watu mabilioni..days are counted

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Damu ya mwanadamu ni hatari sana, ukiidhulumu yatakukuta. Awamu ya 5 ilifanya mengi mazuri, lakini tatizo kubwa haikuthamini DAMU ya mwanadamu - Hili ni kosa kubwa linalotoa machozi mbele ya Mola wetu. Maendeleo yote unayoyafanya ni bure kama hutathamini utu wa mtu na DAMU YAKE.

Napata tabu kuchagua kati ya awamu ya 5 na awamu ya 4. Maovu ya awamu ya 4 yalikuwa bayana - UBADHILIFU WA PESA. Hivyo natakiwa nichague kati ya UBATHILIFU WA PESA against KUTOTHAMINI UTU WA MTU NA DAMU YAKE. Mmmmmm wacha tu!
 
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.

Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.

Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shilingi 300 jua waliopanga Bei iwe hivyo ni boys to men.

Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.

Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.

Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita CCM leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.

Lowassa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata Mbowe na kumuweka ndani?

Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.

Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.

Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.

Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.

Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.

Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.

Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.

Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.

Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.

Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.

Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.

R.I.P Nyerere na Magufuli.
SUKUMA GANG BHANA....MTATESEKA SANA...KIPINDI CHENU MLIKUWA MNAPIGA DEAL WACHACHE TENA KWA KILUGHA....SASA ACHA WENGI WAFAIDIKE...WACHA MAMA AENDELEE KUUPIGA MWINGI....
 
Back
Top Bottom