Boys to men ya 1995 wamerudi, tujipange

Boys to men ya 1995 wamerudi, tujipange

We mbwa watu wanaongea hoja za maana wewe unaleta mambo yako ya team mange na team zari the boss lady shanzy kabisa.
Hakuna hoja ya maana hapo. Ni ujinga tu uliotopea. Zaidi ni kilio cha kukosa fursa mlizozizoea. Mbona enzi za hao mnaowasema maisha yalikuwa fresh tu. Tena acha watamalaki kabisa ili nchi irudie uchumi wake wa hapo kabla.
 
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.

Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.

Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shiling 300 jua waliopanga Bei iwe ivyo ni boys to men.

Ukiona gesi inatoka elf 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.

Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya bosy to men ndiye mshauri mkuu.

Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita ccm leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.

Lowaasa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata mbowe na kumuweka ndani?

Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.

Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.

Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.

Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.

Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.

Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.

Viongozi was serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.

Usishangae kuona Yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.

Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.

Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.

Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi Sana, Sana ila alidhibiti Sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.

R.I.P Nyerere na Magufuli.
Utaitwa Sukuma gang na wale mashabiki wa Msoga line
 
Ila Msukuma aliipandisha darasa la saba mpk basi,ss kuti kavu kutesa kwa zamu.
 
JPM alijaza watu waadilifu Sana Tanesco ndio maana Hakuna harufu ya Ufisadi. Tunakoenda Ni kubaya zaidi..Kuna watu wanaenda kujiimarisha kifedha ,kusuka mtandao for coming elections, ubadhilifu, mikataba mibovu, kesi za kuwalipa watu mabilioni..days are counted

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wasiwasi wa nini?...usitengeneze hofu ya kufikirika.
 
Yupi bora anaye kula na watu wachache na wanaishi kifalme kweli kweli au anaye kula na watu wengi ambao wengi wana faidika na kinacho patikana.For me bora msoga kuliko Sukuma.
Hamna cha kula na watu wachache au wengi, ishu ni huduma za kijamii ziwepo available na watu wapate huduma bila matatizo sio kuendekeza wizi na uuzaji madawa ya kulevya unaoua vijana na nguvu kazi
 
Mekuja mbio nkidhani music wa enzi hizo kumbe sio

Ni bora kipindi chao ajira zilikuwa nyingi na hela ilikuwepo mtaani plus uhuru wa kujieleza tofauti na kipindi cha mwendazake
 
Tena safari hii wapo huru kabisa, hakuna wa kusema hili wala lile wakaanza kujihisi.

Lakini acha waTanzania waonje utamu wake hapo ndipo huenda akili zitawaingia kichwani. Sijui watafanya kitu gani katika miaka minne hii kuwafanya waTanzania wasistuke!
Kama hatutastuka katika muda huo, basi hakuna sababu ya kuwaonea huruma, acha tu wapate joto ya jiwe!
Tatzo hawa watu waizi wa kura masandukuni
 
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.

Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.

Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shiling 300 jua waliopanga Bei iwe ivyo ni boys to men.

Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.

Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.

Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita ccm leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.

Lowaasa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata mbowe na kumuweka ndani?

Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.

Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.

Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.

Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.

Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.

Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.

Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.

Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.

Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.

Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.

Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.

R.I.P Nyerere na Magufuli.
Jipangeni ila mjue tutafumua kila mkataba afu tuone uzalendo uchwara 👇

Screenshot_20210926-164042.png

Screenshot_20210926-163918.png
 
Team Magufuli mnahangaika sana wakati watu wakiwaandika vibaya Mlikua mnawapoteza eti saiv mmegeuka watetezi wa wananchi wakati Mlikua mnapiga hela huku mnanyamazisha vyombo vya habari mnaua watu mnafilisi watu na madini mkampa kagame akawapiga nyie sio watu msizani watanzania ni wajinga
Wanahangaika bure and nothing watafanya hapo hutawasikia wakikwambia umeme ni 27,000,bei za matibabu ya figo kushuka kwa 66%, serikali kujenga vituo vya afya 202 vs vyao 78,bei za Mazao kupaa vs kwao kuanguka,mikopo kwa watoto wote vyuo vikuu, serikali kujenga mashule vs wao michango,bajeti ya barabara Tarura,Tanroads kuongezeka vs yao kiduchu n.k n.k

Legacy ilikoma baada ya kufulia Dhalimu no way out watoe povu Chief Hangaya yupo hadi 3035.
 
Acheni kujaza watu hofu na ujinga!Kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita Nchi hii imeongozwa kikatili na kishamba sana! Deni la Taifa likapanda astronomical huku tukidanganywa eti makusanyo ya ndani na hakuna kuhoji!
Waliokula mema ya Nchi hii walikuwa ni kina Paulo Makonda, Humphrey Polepole,Cyprian Musiba na vikundi vyao katili vya watu wasiojulikana! Leo kina Polepole wanalia kilio cha mbwa mwizi!
 
Kwanza Team Mwendazake hawawezi kuthubutu kufanya lolote maana wanajua tuna mafaili yao ya ile Til.1 ya Assad,Bil.600 za uviko 19,Mabilioni waliyochota alipokufa na kashfa kibao kwenye ndege,sgr na stiglaz..

Hizo ni baadhi tuu bado hujaguza Tanroads na Mayanga,bandari nk ..

Hawa wa humu ni wajinga tuu wasio na cheo chochote wale wanaitwa bendera fuata upepo ila wenyewe waliofaidi kamwe hawawezi nyanyua mdomo..
 
Back
Top Bottom