Boys to men ya 1995 wamerudi, tujipange

Boys to men ya 1995 wamerudi, tujipange

Boys to men ni nini?
Boys2MenKikwete.jpg
 
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.

Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.

Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shilingi 300 jua waliopanga Bei iwe hivyo ni boys to men.

Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.

Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.

Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita CCM leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.

Lowassa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata Mbowe na kumuweka ndani?

Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.

Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.

Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.

Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.

Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.

Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.

Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.

Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.

Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.

Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.

Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.

R.I.P Nyerere na Magufuli.
uzi mzima boys to men
 
Leo nimenunua sukari 2900 ,nani kapandisha bei, Magufuli, boys to men, au Mama,
 
Team Magufuli mnahangaika sana wakati watu wakiwaandika vibaya Mlikua mnawapoteza eti saiv mmegeuka watetezi wa wananchi wakati Mlikua mnapiga hela huku mnanyamazisha vyombo vya habari mnaua watu mnafilisi watu na madini mkampa kagame akawapiga nyie sio watu msizani watanzania ni wajinga
Wewe ni kapumbavu sana yani!

Huo u team wako ndio unasababisha bibi zako kule kijijini wanaliwa na umasikini.

Mtaelimika lini nyie majitu?
 
Mtatunga sana nadharia zenu mwaka huu!

Eti Magufuli alidhibiti Wizi? Wizi upi alizibiti?
Alupeleka wapi Trilion 1.5? Prof Assad alivyoibua hoja Alimfanyaje?
Wewe nilikua nakuona unajua kupambanua mambo kumbe nawwe hamnazo kabisa. Report za CAG haziibui wizi bali hoja za kikaguzi. 1.5T ilijadiliwa na Bunge, CAG na Serikali. Ikabainika haikuibiwa na matumizi yake yaliwekwa bayana.

Prof. Assad muda wake uliisha kikatiba na Rais halazimishwi kumuongezea Muda, anaweza kuteua mtu yoyote. Ndicho kilichofanyika.
 
Kwani huyu Mungu hayaoni yote haya??? Kwanini anaacha watu wateseke ajili ya watu wachache.
Mungu mwenyewe ndo amejificha humo kwenye Wizara ya fedha, Ulinzi na nishati vitu vyote vinavyosabisha human enslavement ndo alipo Mungu... kwani vita duniani kaleta nani ni Mungu huyo., hajawahi kumtetea mwanadamu zaidi ya story za Mungu kwenye vitabu eti ni mwema.
 
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.

Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.

Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shilingi 300 jua waliopanga Bei iwe hivyo ni boys to men.

Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.

Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.

Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita CCM leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.

Lowassa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata Mbowe na kumuweka ndani?

Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.

Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.

Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.

Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.

Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.

Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.

Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.

Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.

Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.

Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.

Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.

R.I.P Nyerere na Magufuli.
Sawa. Yana mwisho

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
God is sovereign; too early to surrender!

So fortunate I know the end before the beggining...Hivi mapigo ya Pharaoh yalikuwa mangapi vile?
It is well with thee, if you do not trust, trust my decrees, says the prophet!
 
Pole sana. Enzi zako na mwendazake wakati unatafuna nchi tulikuvulia, nawe vumilia pia.
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.

Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.

Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shilingi 300 jua waliopanga Bei iwe hivyo ni boys to men.

Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.

Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.

Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita CCM leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.

Lowassa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata Mbowe na kumuweka ndani?

Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.

Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.

Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.

Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.

Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.

Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.

Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.

Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.

Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.

Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.

Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.

R.I.P Nyerere na Magufuli.
 
Mungu mwenyewe ndo amejificha humo kwenye Wizara ya fedha, Ulinzi na nishati vitu vyote vinavyosabisha human enslavement ndo alipo Mungu... kwani vita duniani kaleta nani ni Mungu huyo., hajawahi kumtetea mwanadamu zaidi ya story za Mungu kwenye vitabu eti ni mwema.
Pumzi yako tu huna uhakika nayo sekunde inayofuata wewe ndiyo wakumkufuru Mungu hivi? Mungu na akurehemu...Hata sasa yupo enzini, tunza huu uzi uje uniulize miaka yako mitano ijayo, kwasababu hii nakuombea uzima ili uone kwa macho yako....Kings are never subject to the laws they make laws; I am afraid am from that line!
I decree and seal it with Holy seal that Tanzania shall never go back to misri, watch and see never mind the process trust the outcome!
 
YAJAYO YANAOGOPESHA.

MUNGU INUSURU TANZANIA.
Stand still and do not fear, the pharaoh you see today shall see him no more, time and space belong to the mighty binadamu na asijisifu kwa chochote saa wasiyotazamia ndipo anguko lao litakuja!
 
Back
Top Bottom