Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Nipo pamoja na wewe kwenye hili.Yupi bora anaye kula na watu wachache na wanaishi kifalme kweli kweli au anaye kula na watu wengi ambao wengi wana faidika na kinacho patikana.For me bora msoga kuliko Sukuma.
Kuna Chenge na Rostam hapo usisahau kamati ya ufundi wanapasha misuliYaani kikwete,lowasa,january,ridhiwani
Hakuna hoja ya maana hapo. Ni ujinga tu uliotopea. Zaidi ni kilio cha kukosa fursa mlizozizoea. Mbona enzi za hao mnaowasema maisha yalikuwa fresh tu. Tena acha watamalaki kabisa ili nchi irudie uchumi wake wa hapo kabla.We mbwa watu wanaongea hoja za maana wewe unaleta mambo yako ya team mange na team zari the boss lady shanzy kabisa.
Utaitwa Sukuma gang na wale mashabiki wa Msoga lineMwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.
Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.
Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shiling 300 jua waliopanga Bei iwe ivyo ni boys to men.
Ukiona gesi inatoka elf 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.
Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya bosy to men ndiye mshauri mkuu.
Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita ccm leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.
Lowaasa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata mbowe na kumuweka ndani?
Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.
Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.
Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.
Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.
Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.
Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.
Viongozi was serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.
Usishangae kuona Yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.
Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.
Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.
Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi Sana, Sana ila alidhibiti Sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.
R.I.P Nyerere na Magufuli.
Wasiwasi wa nini?...usitengeneze hofu ya kufikirika.JPM alijaza watu waadilifu Sana Tanesco ndio maana Hakuna harufu ya Ufisadi. Tunakoenda Ni kubaya zaidi..Kuna watu wanaenda kujiimarisha kifedha ,kusuka mtandao for coming elections, ubadhilifu, mikataba mibovu, kesi za kuwalipa watu mabilioni..days are counted
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hamna cha kula na watu wachache au wengi, ishu ni huduma za kijamii ziwepo available na watu wapate huduma bila matatizo sio kuendekeza wizi na uuzaji madawa ya kulevya unaoua vijana na nguvu kaziYupi bora anaye kula na watu wachache na wanaishi kifalme kweli kweli au anaye kula na watu wengi ambao wengi wana faidika na kinacho patikana.For me bora msoga kuliko Sukuma.
Tatzo hawa watu waizi wa kura masandukuniTena safari hii wapo huru kabisa, hakuna wa kusema hili wala lile wakaanza kujihisi.
Lakini acha waTanzania waonje utamu wake hapo ndipo huenda akili zitawaingia kichwani. Sijui watafanya kitu gani katika miaka minne hii kuwafanya waTanzania wasistuke!
Kama hatutastuka katika muda huo, basi hakuna sababu ya kuwaonea huruma, acha tu wapate joto ya jiwe!
Ulielewa kweli nilichokuwa namaanisha kwa kuandika hivyo? Jitahidi kuwa UNASOMA na kuelewa hata kama una akili taahira!Weee ni mtoto
Tulia soma utaelewa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dunia simama nishuke, yajayo yanaogopesha.
Alikuwa bado mdogo enzi za EPA, ESCROW, RICHMOND.Kwani mikataba ya kifisadi haikutokea? Hawakuwa kuiuzia Tanesco umeme wa mafuta bei juu?
Jipangeni ila mjue tutafumua kila mkataba afu tuone uzalendo uchwara 👇Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.
Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.
Ukiona leo Bei ya unit 1 ya umeme inauzwa kwa shiling 300 jua waliopanga Bei iwe ivyo ni boys to men.
Ukiona gesi inatoka elfu 18 mpaka 22 kwa haraka jua tu kuwa mmoja wa boys to men yupo kwenye biashara ya gesi.
Ukiona Rais anashindwa kuishi Dodoma kila siku yupo Dar ujue mmoja Kati ya boys to men ndiye mshauri mkuu.
Msishangae kuona kila mtu aliyekuwa anaitwa fisadi na hao hao wanaojiita ccm leo akapewa cheo na kushangiliwa kwamba ni msafi ni njaa utafanyaje wakati boys to men wameshika mpini wewe umeshika makali.
Lowaasa amejitokeza na kumsifia Rais eti anaendesha serikali vizuri kwa kumkamata mbowe na kumuweka ndani?
Au kwa lipi hasa? Lakini ni ile sauti ya kwamba boys to men wamerudi kwa Kasi.
Ule utatu mtakatifu wa boys to men ndio Sasa wanashikilia sector nyeti ya Nishati, Fedha na ulinzi.
Kodi ikipanda au mfumuko wa Bei ukiwa mkubwa tusishangae.
Umeme ukizima au kupanda Bei tusishangae maana lengo waanze kuagiza ma generator.
Watu wakipishana Morogoro road Dar-dodoma,Dodoma-Dar kila siku na kufyonza mafuta ya Kodi za umma tusishangae ndio boys to men wanavyotaka serikali iendeshwe.
Michango na karo ikirudishwa mwakani 2021 kwenye shule za umma tusishangae mfumo wa boys to men ndio unavyotaka.
Viongozi wa Serikali wakipishana tu angani kwenda kutalii na kubembea ulaya tusishangae ndio mfumo wa boys to men unavyotaka.
Usishangae kuona yule mbwekaji wa Twitter kanyamaza ndio muelewe ile ilikuwa taasisi sio mtu, Toka mwaka 1994 wanakula Nchi tu jamaa hawajali.
Yale ya Meremeta, Kigoda, Rada, Simbion Pawa, Dowans, Richmond, Tegeta Escow tuombe Mungu tu yasijirudie.
Kiukweli mbele ni giza sioni mwanga labda 2025 ije haraka tujitetee.
Magufuli alikuwa na mapungufu yake mengi sana, Sana ila alidhibiti sana wizi wa kimfumo wa kuiba kwa pen ila Sasa naona unalejea.
R.I.P Nyerere na Magufuli.
Wanahangaika bure and nothing watafanya hapo hutawasikia wakikwambia umeme ni 27,000,bei za matibabu ya figo kushuka kwa 66%, serikali kujenga vituo vya afya 202 vs vyao 78,bei za Mazao kupaa vs kwao kuanguka,mikopo kwa watoto wote vyuo vikuu, serikali kujenga mashule vs wao michango,bajeti ya barabara Tarura,Tanroads kuongezeka vs yao kiduchu n.k n.kTeam Magufuli mnahangaika sana wakati watu wakiwaandika vibaya Mlikua mnawapoteza eti saiv mmegeuka watetezi wa wananchi wakati Mlikua mnapiga hela huku mnanyamazisha vyombo vya habari mnaua watu mnafilisi watu na madini mkampa kagame akawapiga nyie sio watu msizani watanzania ni wajinga