B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Oct 1, 2021 #81 Denvers said: Kwani huyu Mungu hayaoni yote haya??? Kwanini anaacha watu wateseke ajili ya watu wachache. Click to expand... Mungu hujibu kwakutufundisha kwanza maana anajua kwamba wanadamu ni wanafiki hasa watanzania, Mungu anapenda wanyenyekevu na wanao ishi kwakumpendeza, pale tunapo abudu watu anatujibu kwa kuwaweka pembeni kwanjia zinazompendeza yeye
Denvers said: Kwani huyu Mungu hayaoni yote haya??? Kwanini anaacha watu wateseke ajili ya watu wachache. Click to expand... Mungu hujibu kwakutufundisha kwanza maana anajua kwamba wanadamu ni wanafiki hasa watanzania, Mungu anapenda wanyenyekevu na wanao ishi kwakumpendeza, pale tunapo abudu watu anatujibu kwa kuwaweka pembeni kwanjia zinazompendeza yeye