willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,071
- 1,303
Kuna brand nyingi tz lakini ukisearch hata google haitambuliki, hawana official website hata weekpedia hawapo je tv hizi ni fake, mfano ni bravo, aboder, mr uk, goodvision, sundar, alitop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheap is expensive. Watanzania tuna prefer price over quality.Kuna brand nyingi tz lakini ukisearch hata google haitambuliki, hawana official website hata weekpedia hawapo je tv hizi ni fake, mfano ni bravo, aboder, mr uk, goodvision, sundar, alitop
Zunguka Tanzania nzima ukipata Samsung made in Korea njoo nionyeshe duka nakupa 100000.Cheap is expensive. Watanzania tuna prefer price over quality...
Tv km Sio LG, Samsung or Sony siwezi nunua.
Na ht LG nayo iwe made in Korea, ikiwa made in Egypt or SA siigusi ht unipe bei karibia na bure. Samsung nayo iwe korea, Sony iwe Japan...
Hitachi wamehamia kwenye artificial intelligenceTv ni lg au Sony
Sijui kama Hitachi kama bado wapo kwenye game
Hizi ulizozitaja mbona ni campuni za wabongo wanaotengeneza hizi bidhaa China,mfano huyo allitop namjua kbs.brands karibia zote hapo hata Kenya huwezi kuzikuta maana nao Wana zaoKuna brand nyingi tz lakini ukisearch hata google haitambuliki, hawana official website hata weekpedia hawapo je tv hizi ni fake, mfano ni bravo, aboder, mr uk, goodvision, sundar, alitop
Hizi ulizozitaja mbona ni campuni za wabongo wanaotengeneza hizi bidhaa China,mfano huyo allitop namjua kbs.Kampuni karibia zote hapo hata Kenya huwezi kuzikuta maana nao Wana zao
Bongo na Africa Kwa ujumla asilimia ya watu wengi hatuwezi kumiliki Panel Brands km Sony,Lg na Samsung,sababu uchumi wetu wengi ni wa Imani,upendo na miujiza
Ukishaona tv inauzwa karibu na kila duka jua hamna kitu.Na hisense je?
safiiiIshi kulingana na unavyovimudu, siyo unavyotamani.
kuna jambo wabongo wengi hamlijui; mnapenda sana kutumia neno FAKE pasipo kulielewa.
iko hivi: hizo brands (aborder, allitop, sundar n.k) si fake bali ubora wake hauko sawa na brands kama LG, SAMSUNG n.k
ili kitu kiwe fake ni pale kinapokuwa mfano wa kitu halisi cha aina husika. Maana yake fake inaweza ikawa; LG, SAMSUNG, PANASONIC, SONY, ABORDER, SUNDAR n.k
Vipato hatulingani, natumia simu ya 30,000/= lakini mwingine anatumia simu ya 3,000,000/=
NB: Rahisisha mahitaji yako credit; 20%
safiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ilimradi naliona bunge live fresh tu.. logo hainisumbui hata kama ikiwa ni made in manzese😅😂
Kuna TV nyingi sana duniani mkuu kuna Blaupunkt,Telefunken, Aristona, Erres, Phillips...yani kuna brand kibao...sio hizo za kukaririCheap is expensive. Watanzania tuna prefer price over quality.
Tv km Sio LG, Samsung or Sony siwezi nunua.
Na ht LG nayo iwe made in Korea, ikiwa made in Egypt or SA siigusi ht unipe bei karibia na bure. Samsung nayo iwe korea, Sony iwe Japan...
Unajuaje ni made kutoka nchi gani?ni kile ki label tuu ama kuna cha zaidi?Cheap is expensive. Watanzania tuna prefer price over quality.
Tv km Sio LG, Samsung or Sony siwezi nunua.
Na ht LG nayo iwe made in Korea, ikiwa made in Egypt or SA siigusi ht unipe bei karibia na bure. Samsung nayo iwe korea, Sony iwe Japan...
Ishi kulingana na unavyovimudu, siyo unavyotamani.
kuna jambo wabongo wengi hamlijui; mnapenda sana kutumia neno FAKE pasipo kulielewa.
iko hivi: hizo brands (aborder, allitop, sundar n.k) si fake bali ubora wake hauko sawa na brands kama LG, SAMSUNG n.k
ili kitu kiwe fake ni pale kinapokuwa mfano wa kitu halisi cha aina husika. Maana yake fake inaweza ikawa; LG, SAMSUNG, PANASONIC, SONY, ABORDER, SUNDAR n.k
Vipato hatulingani, natumia simu ya 30,000/= lakini mwingine anatumia simu ya 3,000,000/=
NB: Rahisisha mahitaji yako credit; 20%
Hisense ni brand ya kichina , inakuja vizurNa hisense je?
Huyo hafahamu kuwa manufacturing jobs zipo china kusave gharama. Zingetengenezwa korea bei yake ingekuwa haikamatiki na ndio maana India na China zinazalisha bidhaa nyingi za kielektroniki kwa makampuni mengi makubwa duniani.Zunguka Tanzania nzima ukipata Samsung made in Korea njoo nionyeshe duka nakupa 100000.