Brand nyingi za TV za Bongo ni fake

Brand nyingi za TV za Bongo ni fake

Alafu hizo brand uki search utakuta zinauzwa tu tz
 
Huyo hafahamu kuwa manufacturing jobs zipo china kusave gharama. Zingetengenezwa korea bei yake ingekuwa haikamatiki na ndio maana India na China zinazalisha bidhaa nyingi za kielektroniki kwa makampuni mengi makubwa duniani.
Hajui kuwa hata iphone inakuwa assembled China. China wanatoa bidhaa bora zinazoenda Ulaya, Marekani, Japan etc.
Huku kwetu uchumi wetu bado mdogo
 
Hizi ulizozitaja mbona ni campuni za wabongo wanaotengeneza hizi bidhaa China,mfano huyo allitop namjua kbs.Kampuni karibia zote hapo hata Kenya huwezi kuzikuta maana nao Wana zao

Bongo na Africa Kwa ujumla asilimia ya watu wengi hatuwezi kumiliki Panel Brands km Sony,Lg na Samsung,sababu uchumi wetu wengi ni wa Imani,upendo na miujiza
Ni Tamaa za wafanyabiashara na sio Uchumi.

Angalia Bei za TV USA, Ama nchi za Asia bei tunazonunulia Star x, Evoli, Mr uk, Boss etc wao wanapata TCL, Hisense, Sometime even brand kubwa kama Samsung na LG.

Kibongo bongo mfanyabiashara anakuwa Agent wa Brand kubwa, mfano Mo yeye ni Agent wa LG, Tayari ana supply Chain sababu ni wa muda mrefu, Then anafyatua Brand yake Mo tech anatoa Tv za Mo zinapitia same supply chain.

Brand nyingi kama unavyosema ni za hapa hapa Bongo. Wanachofanya wao ni kuweka tu bei ndogo kidogo kuliko Brand kubwa ili upate ile idea hizi bei rahisi na Hizi Ghali. Lakini uhalisia tunanunua wachina kwa Bei ghali.
 
Huyo hafahamu kuwa manufacturing jobs zipo china kusave gharama. Zingetengenezwa korea bei yake ingekuwa haikamatiki na ndio maana India na China zinazalisha bidhaa nyingi za kielektroniki kwa makampuni mengi makubwa duniani.
Its simple km unataka kununua za china nunua ile usiseme sijui...i have been in the industry for a long time najua kipi OG kipi famba...
 
Unajuaje ni made kutoka nchi gani?ni kile ki label tuu ama kuna cha zaidi?
Before ht hujanunua ukiwauliza wauzaji wanafahamu...then unaweza ku confirm kwenye box na nyuma ya Tv...
 
Cheap is expensive. Watanzania tuna prefer price over quality.

Tv km Sio LG, Samsung or Sony siwezi nunua.

Na ht LG nayo iwe made in Korea, ikiwa made in Egypt or SA siigusi ht unipe bei karibia na bure. Samsung nayo iwe korea, Sony iwe Japan...
Sony ya Japan kwa nyakati hizi utaipata wapi?,kwenye mitumba?
 
Brand zipi za TV ni nzuri na kutoka wapi? Maana kwa mfano kuna LG ya south Africa na korea.
Its simple km unataka kununua za china nunua ile usiseme sijui...i have been in the industry for a long time najua kipi OG kipi famba...
 
Ni Tamaa za wafanyabiashara na sio Uchumi.
Basi nilijua ni ughali wa bidhaa ndy unawafanya wafanya biashara wa bongo watuletee brand zao za kichina,kumbe ni tamaa Tu..safari yetu ni ndefu sana
Angalia Bei za TV USA, Ama nchi za Asia bei tunazonunulia Star x, Evoli, Mr uk, Boss etc wao wanapata TCL, Hisense, Sometime even brand kubwa kama Samsung na LG.

Kibongo bongo mfanyabiashara anakuwa Agent wa Brand kubwa, mfano Mo yeye ni Agent wa LG, Tayari ana supply Chain sababu ni wa muda mrefu, Then anafyatua Brand yake Mo tech anatoa Tv za Mo zinapitia same supply chain.
Hili ni tatizo kubwa Sana.."tunanunua wachina Kwa bei kubwa Sana"
Brand nyingi kama unavyosema ni za hapa hapa Bongo. Wanachofanya wao ni kuweka tu bei ndogo kidogo kuliko Brand kubwa ili upate ile idea hizi bei rahisi na Hizi Ghali. Lakini uhalisia tunanunua wachina kwa Bei ghali.
 
Wahenga ndio tunajua original brands, hiki kizazi cha sasa wamechanganyikiwa na mrundikano wa brands.

Kuna brands ambazo ni ngumu kukutana nazo Kariakoo, nadhani Wafanyabiashara nao wanacheza na uwezo wa Wateja wao.

Brands kama GRUNDIG, JVC, TOSHIBA, PANASONIC, PHILLIPS, GENERAL ELECTRONICS n.k.

Wachina kwa sehemu kubwa wamevuruga sana soko hasa upande wa bidhaa za electronics, na nyingi ya hizo ni Majina wanayopewa watengenezaji na Wafanyabiashara wenyewe...hata wewe ukiweza kuagiza mzigo mkubwa ukitaka waandike jina lako wataandika.
 
Cheap is expensive. Watanzania tuna prefer price over quality.

Tv km Sio LG, Samsung or Sony siwezi nunua.

Na ht LG nayo iwe made in Korea, ikiwa made in Egypt or SA siigusi ht unipe bei karibia na bure. Samsung nayo iwe korea, Sony iwe Japan...
Hisense pia
 
Back
Top Bottom