Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 2,093
- 2,843
Kikawaida Products nyingi hutengenezwa kwa ajili ya watu wa kati na wa chini, Kitaalamu hii huitwa Marketing Holocaust, Pia tujue kutaofautisha (Brand) na (Quality), wengi waliosema TV kama si samsung au sony hanunui wanaangalia Brand, lakini kuna TV Bora kabisa zaidi ya hizo kama VIZIO lakini watu wengi hawajui kwa sababu si brand kubwa.. ni vema tutofautishe brand na Ubora. TV inaweza isiwe Samsung, Sony ama LG na ikawa na Quality poa sana.