KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Akiipata, aniite mbwa, nimekaa pale.Zunguka Tanzania nzima ukipata Samsung made in Korea njoo nionyeshe duka nakupa 100000.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiipata, aniite mbwa, nimekaa pale.Zunguka Tanzania nzima ukipata Samsung made in Korea njoo nionyeshe duka nakupa 100000.
hizi zoote muundaji ni mmoja china huko! wanaweka lebo tu!Kuna brand nyingi tz lakini ukisearch hata google haitambuliki, hawana official website hata weekpedia hawapo je tv hizi ni fake, mfano ni bravo, aboder, mr uk, goodvision, sundar, alitop
Kwa mfano ikiwa ya aina nyingine, na ikawa na mwonekano mzuri wa picha na inafanya yote yaliyomo kwenye brand ulizozitaja kuna tatizo gani.Cheap is expensive. Watanzania tuna prefer price over quality.
Tv km Sio LG, Samsung or Sony siwezi nunua.
Na ht LG nayo iwe made in Korea, ikiwa made in Egypt or SA siigusi ht unipe bei karibia na bure. Samsung nayo iwe korea, Sony iwe Japan...
Kwenye dark room Oled haina Mpizani ila kwenye Bright room Qled anamkalisha Oled hasa kama unaangalia Hdr10 contents.kwa samsung angalau kidogo QLED ila huwezi ifananisha na OLED ya LG
Zunguka Tanzania nzima ukipata Samsung made in Korea njoo nionyeshe duka nakupa 100000.
Tatizo jina, wala siyo ubora wa bidhaa tena. Nina sharp yangu, haina mambo mengi nilinunua miaka sita iliyopita inadunda tu.Wabongo huwa tunapenda kujifariji tu. Ni sawa na mtu kapanda bus lisilo luxury na mwingine kapanda basi ambalo ni luxury. Hakika aliyepanda basi ambalo luxury atafurahia sana.
Cheap is expensive. Huwezi kujiuliza kwanini hii TV inauzwa laki 3 na 50 na nyingine ni laki 5
Tatizo jina, wala siyo ubora wa bidhaa tena. Nina sharp yangu, haina mambo mengi nilinunua miaka sita iliyopita inadunda tu.
Tutakubandikia sticker ya made in JapanCheap is expensive. Watanzania tuna prefer price over quality.
Tv km Sio LG, Samsung or Sony siwezi nunua.
Na ht LG nayo iwe made in Korea, ikiwa made in Egypt or SA siigusi ht unipe bei karibia na bure. Samsung nayo iwe korea, Sony iwe Japan...
Nina tv inaitwa PMC nmegoogle sijapata website yao
Inaenda mwaka sasaIna mwaka wa ngapi tangu umechukua?
Kuna brand nyingi tz lakini ukisearch hata google haitambuliki, hawana official website hata weekpedia hawapo je tv hizi ni fake, mfano ni bravo, aboder, mr uk, goodvision, sundar, alitop
Hizo zote ni universal screens .. Yale majina ni sticker tu zimebandikwaKuna brand nyingi tz lakini ukisearch hata google haitambuliki, hawana official website hata weekpedia hawapo je tv hizi ni fake, mfano ni bravo, aboder, mr uk, goodvision, sundar, alitop
OLED mzee lazima uwe na kibunda kizitobinafsi nazikubali sana LG hasa OLED. ukiipata hii brand utakuja kunishukuru baadae.