Vizio ni brand kubwa sana nje,ila bongo ndio hawazijui,Kikawaida Products nyingi hutengenezwa kwa ajili ya watu wa kati na wa chini, Kitaalamu hii huitwa Marketing Holocaust, Pia tujue kutaofautisha (Brand) na (Quality), wengi waliosema TV kama si samsung au sony hanunui wanaangalia Brand, lakini kuna TV Bora kabisa zaidi ya hizo kama VIZIO lakini watu wengi hawajui kwa sababu si brand kubwa.. ni vema tutofautishe brand na Ubora. TV inaweza isiwe Samsung, Sony ama LG na ikawa na Quality poa sana.
Cheap is expensive. Watanzania tuna prefer price over quality.
Tv km Sio LG, Samsung or Sony siwezi nunua.
Na ht LG nayo iwe made in Korea, ikiwa made in Egypt or SA siigusi ht unipe bei karibia na bure. Samsung nayo iwe korea, Sony iwe Japan...
Kwa kuongezea tu FAKE ni nakala ya kitu halisi ambayo imetolewa bila kibali cha mwenye kile kitu halisi. Mfano ukinunua sony Tv ambayo haijatoka kiwanda cha Sony hiyo tunasema ni Fake. Hata kama ina ubora kama ule wa Sony Og.Ishi kulingana na unavyovimudu, siyo unavyotamani.
kuna jambo wabongo wengi hamlijui; mnapenda sana kutumia neno FAKE pasipo kulielewa.
iko hivi: hizo brands (aborder, allitop, sundar n.k) si fake bali ubora wake hauko sawa na brands kama LG, SAMSUNG n.k
ili kitu kiwe fake ni pale kinapokuwa mfano wa kitu halisi cha aina husika. Maana yake fake inaweza ikawa; LG, SAMSUNG, PANASONIC, SONY, ABORDER, SUNDAR n.k
Vipato hatulingani, natumia simu ya 30,000/= lakini mwingine anatumia simu ya 3,000,000/=
NB: Rahisisha mahitaji yako credit; 20%
Hiz bongo kupata ni issue, labda ufanye kuagiza tuHizo vizio nazipata wapi hapa bongo?
Mbona unachanganya maelezo yako? Umesema fake ni nakala halisi iliyotolewa bila kibali cha mwenyew,mwishon unasema ukinunua tv ambayo haijatoka kiwanda cha Sony ni fake,sasa issue ni kibali au kutoka kiwanda tofaut?Kwa kuongezea tu FAKE ni nakala ya kitu halisi ambayo imetolewa bila kibali cha mwenye kile kitu halisi. Mfano ukinunua sony Tv ambayo haijatoka kiwanda cha Sony hiyo tunasema ni Fake. Hata kama ina ubora kama ule wa Sony Og.
Ushasema brand Sumusungu, iweje sasa.shukuru mungu hakutoka mtu kwenye screen kuja kula ugali.Aboder ni tv bora kabisa kuwahi kutumia!! Ni mwaka wa tano haina tatizo lolote .
Nimenunua Sumusungu mbili zote zimebuma na shida kubwa mistari kwenye screen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sumusunguUshasema brand Sumusungu, iweje sasa.shukuru mungu hakutoka mtu kwenye screen kuja kula ugali.
Nikweli hata home ipo mwaka wa tano nowAboder ni tv bora kabisa kuwahi kutumia!! Ni mwaka wa tano haina tatizo lolote .
Nimenunua Sumusungu mbili zote zimebuma na shida kubwa mistari kwenye screen
Tv ni lg au Sony
Sijui kama Hitachi kama bado wapo kwenye game
Mgermany ana metz,ni tv moja nzuri mno na ghali kuliko brand zetu pendwaKuna TV nyingi sana duniani mkuu kuna Blaupunkt,Telefunken, Aristona, Erres, Phillips...yani kuna brand kibao...sio hizo za kukariri
Hizi tv za mda sanaGRUNDIG
Mgermany ana metz,ni tv moja nzuri mno na ghali kuliko brand zetu pendwa
Naqubali naqubaliCheap is expensive. Watanzania tuna prefer price over quality.
Tv km Sio LG, Samsung or Sony siwezi nunua.
Na ht LG nayo iwe made in Korea, ikiwa made in Egypt or SA siigusi ht unipe bei karibia na bure. Samsung nayo iwe korea, Sony iwe Japan...
Inacheza ngapi kwa inchi 32?