Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Wazee wa mujini najua hili linawezekana kabisa. Natafuta ticket za dili nione mechi ya Brazil na Taifa Stairs, nilikuwa disappointed last time walipokuja Ivory coast, nilinunua ticket za 60,000 mbili na Mzenj wangu! Wakati nanunua ticket pale karibu Steers kule mjini kuna vijana walinifata brother nina ticket za dili nipe hiyo 60,000 nakupa mbili tickets. Nikawa na wasi wasi ila niliambiwa inawezekana ni ticket zenyewe mzee Chilla Tenga huwa anashirikiana na akina Mwakalebela kuwa na ticket za ziada. Niliignore wale vijana kuogopa kupigwa fake.

Tuliingia uwanjani nikiwa nimeshikana mkono na Mzenji. Tukaelekezwa kwenye lile jukwaa husika, nilitegemea kutakuwa na watu wastaarabu maana hata raisi alikuwa hapo kwa VIP. Chakushangaza kulikuwa na jamaa wanakula mahindi ya kuchoma, wachafu chafu hivi, wanaongea hovyo hovyo nadhani pia walikuwa wamelewa pombe za kiasili.

Katika uliza uliza nikaambiwa ujanja wa mjini hizo ticket zao za dili huenda wamenunua ticket za 60,000 kwa buku 10. Na kweli baada ya kuulizia siku ya pili nikaambiwa mjini hapo wajinga ndio wanaoliwa. Kila tukio kubwa huwa kuna mambo ya dili.

Zis time nimeamua nioneka wa mujini nami, nitapata wapi ticket za dili naambiwa kila kitu dili hapo mjini hata ukitaka mega selebriti kuna watu wakuongea nao...

Nataka ticket ya dili siwezi lipia 400,000 hahahaha usawa huu mimi na mzenj

Ticket ya dili


Masa K

Masanilo tulikuwa tunafikiria tukufanye uwe mpangaji kwenye nyumba yetu ya Urithi karibu na ferry kwa kipindi cha miaka 5 kuanzia Oktoba mwishoni mwaka huu. Hutalipa Kodi yoyote ila sisi warithi ndo tutakulipa kwa kututunzia nyumba yetu, Sasa tena unaleta mambo ya dili bado hata giza halijaingia na unajua nyumba yetu ina vito vya thamani vingi tu. Sasa ukikabidhiwa ile nyumba yetu ya urithi mambo yatakuwaje mungu wangu.

Naomba ukanunue tiketi mbili za bei ya kawaida kwa ajili yako na mzenji wako wananchi tutakuelewa.
 
Masa nenda banaa,wanasema raha jipe mwenyewe. Si wengine utakuja kutusimulia.
 
Masanilo tulikuwa tunafikiria tukufanye uwe mpangaji kwenye nyumba yetu ya Urithi karibu na ferry kwa kipindi cha miaka 5 kuanzia Oktoba mwishoni mwaka huu. Hutalipa Kodi yoyote ila sisi warithi ndo tutakulipa kwa kututunzia nyumba yetu, Sasa tena unaleta mambo ya dili bado hata giza halijaingia na unajua nyumba yetu ina vito vya thamani vingi tu. Sasa ukikabidhiwa ile nyumba yetu ya urithi mambo yatakuwaje mungu wangu.

Naomba ukanunue tiketi mbili za bei ya kawaida kwa ajili yako na mzenji wako wananchi tutakuelewa.

Mkuu issue ni hiyo 400,000 kama naweza kwa bei ya robo yaani 100000, nitakuwa nimeosha nyota mtaani...kwenye nyumba wala usihofu nina hakika hutakuta nimeiuza ama nimeangisha mtu mwingine hahahahaah
 
Mkuu issue ni hiyo 400,000 kama naweza kwa bei ya robo yaani 100000, nitakuwa nimeosha nyota mtaani...kwenye nyumba wala usihofu nina hakika hutakuta nimeiuza ama nimeangisha mtu mwingine hahahahaah

Isssue masanilo ni kuwa hiyo nyumba ya urithi ni nyumba takatifu neno dili lilifutwa katika msamiati. Ukisikia umelitaja tu hata kama hujaingia basi unaweza kuenguliwa. Huo ndo wasiwasi wangu

Kama CCJ inachangiwa na wewe tunaweza kukuchangia ili usiwe mtu wa dili.
 
wabongo waote tunge goma kuangalia mechi; kuonesha kuuzunishwa na kutokuwepo gaucho
 
asante kwa ushauri kakaangu


nashauri twende kwa makundi, gari moja family and friends kama nafasi zipo. Msisahau umoja ni muhimi huwa kunavibaka sana maeneo yale wanaovizia watu wanaotoka kwa mechi.

NB: Si JK pekee yake atakuwepo; FL, Pinda,Sitta, Mwema..........nk wote hawa watapewa kipaumbele wakati wa kutoka.
 
WAJAMENI RATIBA YA BRAZIL KUJA BONGO KUCHEZA NA TAIFA STARS NI SAWA NA KUFANYA MAZOEZI YA JIONI TU.WATAONDOKA J2 SAA 6 NA J3 ASUBUHI WATAFANYA MAZOEZI MEPESI PALE TAIFA, KISHA JIONI SAA 12 WATACHEZA MAZOEZI NA TAIFA STARS NA KUONDOKA SAA 3 ILI WAWAHI MAZOEZI YA ASUBUHI SOUTH. CHA KUJIULIZA NI KWAMBA SISI TUNAYAGHAMIA MAZOEZI YAO HAPA NCHINI.KWELI VIONGOZI WA NCHI HII MALIMBUKENI.:eyeroll2:
 
Nimesikia kuwa mechi hii itaangaliwa na nchi 160. Kama ni kweli inabidi hao wanaochukua picha(video) uwanjani wawe professional kweli kweli; kama itaonyeshwa sawa na nilivyoona local matchs itakuwa aibu sana maana utafikiri kuna ka kamera kamoja tu uwanjani.
TFF improve on that vinginevyo hakuna timu nyingine itakuja Tanzania. Unajua mpira unaweza kuwa mzuri lakini shooting ikiwa mbaya itaonekana game ni ovyo tu.
Kuna mtu amesema eti local TV hazitaonyesha mpira huu - ole wao wasionyeshe! Yaani watumie mabilioni yote hayo ya watz wote halafu wafaidi wanaoweza kufika DSM tu? TVT/ITV/Star TV nk. wanapaswa kuonyesha free of charge
 
wabongo waote tunge goma kuangalia mechi; kuonesha kuuzunishwa na kutokuwepo gaucho

Absolutely Yes...
Umenena vyema.
Siwezi kutoa jiwe mbili halafu nikamuangalie Robinho asiyekauka makamasi puani...

No Gaucho
No Football
 
kama the Saint Ronaldo de Asis Moreirra hutumia takriban dakika kumi ama kumi na tano ktk kila mechi kuonyesha chenga na skills mpya machoni mwa watu ambazo zinapatikana Mbinguni tu na zinaufanya mchezo huu wa soka kuwa na radha halafu mpuuzi mmoja ambaye hajawahi kuwa mwanasoka bora wa dunia wala hana mafanikio yoyote kwa ngazi ya klabu anaacha kumuita ktk kikosi basi hata kiingilio kingekuwa 3000 nisingekwenda...

No Gaucho
No football
 
Kwa mwendo huu sishangai nchi yetu yenye wingi wa rasilimali bado ni masikini.

Kwa mwendo huu sishangai kwa nini literacy rates zinashuka.

Kwa msingi huu sishangai GDP Per Capita iko around $ 500

Na wala si lawama kwa wanasiasa peke yao. Tunawawezesha, tunawapigia kura, tuna support wizi wao.

Hapa siwezi kushangaa kama nusu ya hela zinazodaiwa kuwaleta Brazil zimeingizwa kwenye mfuko wa kampeni ya CCM.

Na mijitu inayopinga ufisadi kila siku hapa ianakenua meno na kutaka kukopa, kupiga harambee na kuomba omba ili mradi tu iende ku support upumbavu huu.

Hivi kweli unaweza kushangaa kwa nini nchi yetu masikini?
 
Being from a neighbouring country, I hope it is not going to be an offence or problem to post my article in your beloved blog. I have been a follower, and a keen reader of this blog since the fierce debate related to the East African treaty. ever since, I follow very closely debates and issues on this blog. After all, what affect Tanznaia, affect us kenyans as well​

After reading this piece, "Tanzania Pay Brazil Price" from BBC, I decided to write something for my neighbours Tanznaians. A countryin the bottom of the poorest in the world, I was shocked on the rationale and thinking of these people. How could Tanznaia pay such a price for Brazil to come and play soccer in Tanzania, while women giving birth are dying in hospitalsbecause they cant get medicine. The could have used the money to mordenize their Aiport to be the Best in East aAfrica.​

Allow me to criticise you, in East Africa, Tanzania is the poorest and the most backward in terms of development, but when you say that, kenyans are seen as very arrogant. NO. This is the truth, and this is he criticim you should take positively. Rational people dont do things like these, if you cant pay teachers, or policemen a decent salary, the education can never improve neither can the country be safe.​


Like I said in my previous comments which drew alot of fire, I lived with Tanzanians in the UK for 8 years, and my roommate whom I can call by the last name "Rutahibwa" was from TZ. He came on the background of education, but I tell you after six months, the man ditched school and joined the first life. He was always asleep during the day and party during the night. He never worked but did not take long either before he started driving Range-Rover and Ferarri. He talk too much and knew everything, and had so much money. I got nervous and moved out, months later he was arrested fro drug dealing. Very many Tanzanians i knew in the UK never worked but lived posh lifestyles​

I have called Julus Nyerere, your celebrated and contreverial Dr. Shayo, and John Masaka not to be Tanznaians because of their thinking, I called them Tutsis, and Kenyans because they think like Kenyans, and will be glad to see them return to their ancestral land, which happened to be US Presidents birth place. This football saga, a poorest country in the world paying the richest team in the world millions of dollars is a form of insanity, kenyans (TAX payers) could not accept anything like this. In Kenya we are ready to die for what we believe in, and that is why I described Tanzanians to be party anmals and funniest creatures.

Mjomba Paulo Kamau​

Nakuru Kenya

**(Imenukuliwa toka Michuzi Blog) Je wewe unasemaje?
 
I have called Julus Nyerere, your celebrated and contreverial Dr. Shayo, and John Masaka not to be Tanznaians because of their thinking, I called them Tutsis, and Kenyans because they think like Kenyans, and will be glad to see them return to their ancestral land, which happened to be US Presidents birth place. This football saga, a poorest country in the world paying the richest team in the world millions of dollars is a form of insanity, kenyans (TAX payers) could not accept anything like this. In Kenya we are ready to die for what we believe in, and that is why I described Tanzanians to be party anmals and funniest creatures.​




I just did not get it - who are these human beings Kamau is refering to?

Julus Nyerere
Contreverial Dr. Shayo
John Masaka

Ama kweli - Upumbavu ni Kipaji



 
Jamani hivi tiketi za mchezo huu wa kihistoria zinauzwa wapi?
Nasikia tayari tiketi za laki tatu zimesha malizika.
Na kibaya zaidi ni kwamba mpaka saa hizi hatuajaambiwa mahali na sehemu zinapouzwa.
 
Huyu jamaa ana point. Anachokisema kina elements za ukweli kuhusu tabia za watanzania Uingereza na hata Ulaya na America kwa ujumla, let us face it. Lakini ujinga wake ni kuwa anasahau kuwa hata wakenya wanafanya hivyohivyo, they are not damn saints. even worse wao pia wana ukablila
 
Good Morning to you all!

Kwa furaha kubwa jana Mwakalebela alitangaza na kutoa ombi kwa waajiri wote nchini kuwalipia wafanyakazi wao ticket za kuingia uwanja wa ST.Julius Kambarage Nyerere ili kushuhudia ushindi Taifa stars watakaounyakua kati yao na Brazil hapo tarehe 6/6 akiongea hayo jana katika taarifa ya habari Mwakalebela aliwaomba waajiri watoe fedha hizo za tiketi iwe ni kama sehemu ya mikopo kwa wafanyakazi wao. Wanajamii wenzangu hii nyie mnaionaje! Charity I hope hii haitakupa tena shida kama wewe ni mwajiriwa....
 
Good Morning to you all!

Kwa furaha kubwa jana Mwakalebela alitangaza na kutoa ombi kwa waajiri wote nchini kuwalipia wafanyakazi wao ticket za kuingia uwanja wa ST.Julius Kambarage Nyerere ili kushuhudia ushindi Taifa stars watakaounyakua kati yao na Brazil hapo tarehe 6/6 akiongea hayo jana katika taarifa ya habari Mwakalebela aliwaomba waajiri watoe fedha hizo za tiketi iwe ni kama sehemu ya mikopo kwa wafanyakazi wao. Wanajamii wenzangu hii nyie mnaionaje! Charity I hope hii haitakupa tena shida kama wewe ni mwajiriwa....
Morning Tete'a'tete!
Mie kweli ni mwajiriwa,lakini mpaka leo mwajiri hajatoa mshahara kwa kuwa kampuni haina hela(kuna financial crisis) na isitoshe hapo kazini kwetu wafanyakazi wengi tayari wanaishi kwa mikopo,nikimaanisha kuwa take home yao ni chini ya laki moja na hiyo inaishia kwa mpemba.
Wafanyakazi tayari tuna mikopo ya saccos,benki,mikopo ya ndani ,makato ya loan ya chuo kikuu n.k.sasa ukiongezeka mkopo wa Mwakalebela na Brazil itakuwaje???????????
Hii kitu naiona ni ngumu,na nadhani wafanyakazi wengi hawatamuudu kwenda huko.
 
Nways, BRAVO kama miti imeanza kuteleza kuteleza. Laana iwaangukie wote wataoenda na waliopanga hili tukio. Emeeeen..
 
Back
Top Bottom