Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Dewji anafanya utani tu; eti kuwalipa WACHAWI milioni 10? Nadhani jamaa hawa wanapata hela kwa njia za mkato sana ndiyo maana hawana uchungu nazo kiasi hicho. Siamini kuwa kuna mwamwerika anaweza kutoa dola 10,000 kiholela namna hii bila kuzi-account kwenye malipo yake ya kodi.

Kichuguu, umeshawahi kwenda kwenye strip club? Watu wanaingiaga na duffle bags zilizojaa $100.00 bills kuanza ku-make it rain.....hahahahahaaa....kwa hiyo wapo Waamerika wanaofanya hivyo...tena wengi tu
 
SOurce Mwananchi....


VITUO vya televisheni nchini havitaonyesha moja kwa moja mechi baina ya Taifa Stars na Brazil Jumatatu jioni kutokana na kukosa haki ya kufanya hivyo.

Badala yake, vituo hivyo vimeruhusiwa kurekodi na kisha kuonyesha mechi hiyo baadaye, limeeleza Shirikisho la Soka Tanzania, TFF na kuongeza kuwa haki hiyo ipo kwa televisheni ya Brazil, Globo.

My comments....

Nani alisema kuwa hao viongozi wetu wako katika kulijenga taifa kwa maslahi ya Nchi... hivi inawezekane vp tuilipe Timu mabilioni ya fedha lakini haki ya kuonyesha mchezo huo kwenye TV wapewe wao tena... na hapa tunyimwe..... kiongozi wa TFF alikaririwa katika kutetea hoja ya viiingilio vikubwa eti sio lazima wote waingie wengine waangalie kwenye TV... wakati hakuna kituo kitakachorusha huu si uwendawazimu hivi hii mijitu iko pale wla maslahi ya Nani............... HIII NCHI HIIIII IMENICHOSHA YAAANI HAKUNA KWENYE AFADHALI..
 
Watuuzie basi decoder za Globaltv
 
hahaha ........sasa hapa si ndo inazidi kuwa revenuew yote itokane na kiingilio tu?!
 
Masikini wanasheria wa tff au viongozi walioverlook makubaaliano, aibu sana.
Tanzania tunatia huruma jamaaaniiii!!
 
upuuzi mtupu..
Acha wajinga ndo waliwe...
Mgomo kama kawa..
 
tafuta TV hizi ndio wanaonyesha mpira wa leo kati ya TAIFA STARS na Brazili
1-AL JAZEERA SPORT +1
2- ESPN(UK&IRL)
3-SPORT.RO
4-YES SPORT 2
 
kama una ARAB SAT au NILESAT unaweza kupata ALJAZEERA SPORT 1 na ESPN ni kwa ajili watu waliopo UK na IRELAND na YES SPORT2 wataona watu wa TURKEY
 
nenda channelsurfing.net .................inawezekana kuwa ipo kwa wale wenye uwezo wa kutizama kwa kupitia mtandao wa intaneti
 
Ukitaka kujua kuwa Tanzania hatujaliani na aliyekuwa nacho atabaki kifaidi tu na aliye maskini ataendelea kuteseka. Nawauliza TFF hivi sisi wa mikoani tunaonaje hii mechi? na kama tunataka kuitangaza Tanzania kwa kutumia mechi hii je? bila kuionyesha kwenye TV kama DSTV tutatangazaje nchi yetu kweli?. TANZANIA ZAIDI YA UIJUAVYO.
 
Haya haya hayawi yamekuwa Brazil wamtua jana usiku pateni picha zao walipowasili Dar airport ila nitakuwepo uwanjani kuwa-update LIVE...

attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • IMG00262-20100607-1223.jpg
    IMG00262-20100607-1223.jpg
    26.9 KB · Views: 33
  • IMG00261-20100607-1223.jpg
    IMG00261-20100607-1223.jpg
    37.3 KB · Views: 33
Live on TV @ 1600hrs UK time, on Monday, 07 June
ESPN UK
Aljazira Sports +1.

* utabiri: TZ 0-4 Brazil ?
 
Mechi mbili mfululizo za Kimataifa hii kali haijawahi kutokea..tutarajie kuongeza aibu baada ya kutolewa na Rwanda kwa bao 1-0.
 
Back
Top Bottom