Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Dewji anafanya utani tu; eti kuwalipa WACHAWI milioni 10? Nadhani jamaa hawa wanapata hela kwa njia za mkato sana ndiyo maana hawana uchungu nazo kiasi hicho. Siamini kuwa kuna mwamwerika anaweza kutoa dola 10,000 kiholela namna hii bila kuzi-account kwenye malipo yake ya kodi.
Kichuguu, umeshawahi kwenda kwenye strip club? Watu wanaingiaga na duffle bags zilizojaa $100.00 bills kuanza ku-make it rain.....hahahahahaaa....kwa hiyo wapo Waamerika wanaofanya hivyo...tena wengi tu