FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Nimefurahi sana kwamba leo umeouona ukweli kuwa si kila kitu lazima kisemwe kama kilivyo,...indicating kwamba kuna mazingira mtu analazimika kutumia uongo mtakatifu ili kupunguza maumivu kwa wengine!!
Babu DC!!
lizzy pls,Hahahahaha. . . acha unoko wewe. . .achukuliwe, achukuliwe na nani?
mkwe. . .
Mzima kabisa mkwe, sijui wewe.
Mi niko na wewe bana. . .sio mtu anakuacha unajifanya mjinga kwa hiari.
Babu kukubali na kutendea kazi makubaliano ni tofauti ujue. Mi bado ni mmoja wa wale wanaotoa ule uwongo unaouma. . .hua nashindwa kujizuia kusema kile nikionacho vile nikionacho.
Hahahahaha. . .sasa asilimia ngapi umeacha kwaajili ya kinga?
Good idea ni kuambiwa ukweli. Atakwambiaje nafikiri ni uamuzi wake kuchagua whether kukuzimia simu, kuhama nyumba bila kukwambia, ukipiga simu hapokei, ukituma sms hajibu, ukienda ofisini walinzi wanakurudishia mlangoni haya we.
Kikubwa hapa ni kusoma alama za nyakati. yale mambo mliyopenda kufanya kwa muda mrefu yakipungua % 99.5, kula kona.
Mi bado ni mmoja wa wale wanaotoa ule uwongo unaouma. . .hua nashindwa kujizuia kusema kile nikionacho vile nikionacho.
If someone told you that you are so ugly you make blind kids cry. Would that hurt your feelings? Would you be mad at them?
Hii ya kuachwa kabisa kabisa bila ya kuambiwa umeachwa mimi sipendi hata kumfanyia mtu. Inaacha maswali mengi sana na inamkosesha mtu amani maana anakua hajui kinachoendelea kwa uhakika.Good idea ni kuambiwa ukweli. Atakwambiaje nafikiri ni uamuzi wake kuchagua whether kukuzimia simu, kuhama nyumba bila kukwambia, ukipiga simu hapokei, ukituma sms hajibu, ukienda ofisini walinzi wanakurudishia mlangoni haya we.
Kikubwa hapa ni kusoma alama za nyakati. yale mambo mliyopenda kufanya kwa muda mrefu yakipungua % 99.5, kula kona.
I'll just have to accept the fact that I am UGLY. I mean. . .kuchukia au kutokuchukia won't change anything right?
mimi naikubli zaidi hiyo ya kimya kimya, mtu anakula kona tu without any piece of informationHii ya kuachwa kabisa kabisa bila ya kuambiwa umeachwa mimi sipendi hata kumfanyia mtu. Inaacha maswali mengi sana na inamkosesha mtu amani maana anakua hajui kinachoendelea kwa uhakika.
uliponizingua kwa kukataa mara ya kwanza nlijiskia aibu/sononeka sana mpaka nkaamua kuikimbia JF
Hahhah hahha hahha,
Hivo vyote tisa kumi ni ile PUA mie hoi tabani sisikii wala sion!
TFana wake tayari tangu mwaka jana!!!!
Dah, sijawa mkali
Ila inauma, bora tu aseme clear and sharp kuliko kill me softly.
Tutajadili ukipita nyumbani leo nimekuandalia dinner
Mpendwa Purple,ukiamua kumpiga chini mwanamke si mara zote unakuwa na sababu,sa ingine ni umalaya tu,hivi unadhania bishanga atakuja kwako aseme "Purple tuachane kuna mwanamke nimempenda Unga ltd',utanielewa? Ninavyowajua mimi wanawake wa mjini we badala ya kuniacha si utazua valangati unga ltd? Au sivyo inavyokuwa?mie naprefer kuachwa mara moja yaani muhusika akijisikia hanihitaji tena aende straight to the point kua hanitaki tena na anipe sababu! Ntaumia but ntampa baraka zote..sioni haja ya mtu kukungangania na wakti ameshakuchoka na hana future yoyote na wewe kwa sababu atazidi kukuumiza coz he/she doesn't care anymore! Ya nini kuzibiana riziki bana aniache imediately sio polepole mradi tu awe na sababu..