Break up. . .

Hiyo nayo inahusu.
Ila nadhani ukishaguandua mwenzio ulimtamani tu na hukumpenda ndo unatakiwa umwache haraka ili kuacha nafasi kwa wale wanaompenda kweli na sio unamwekea kiwingu kwa tamaa binafsi.
 
sichangii kwakuwa umelidanganya jukwaa kwa heading ya kitapeli
 

Mimi napenda kuachwa mara moja ili nijipange nini cha kufanya baada ya hapo.
Kuachwa mara moja ni njia hisiyo ya kinafiki, kuliko kujifanya unaniacha taratibu huku mtima wako ukiwa umemdondokea jamaa mwingine! Unafiki wote huo wa nini? Niambie instantly pale unapohisi kwamba umenichoka, hunipendi tena, umepata mwingine n.k.
 
Usijali Nzi . . .
Ntakuua kama nnavyochinjaga kuku. . .HARAKA bila kuremba.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
Matola
Natafuta namna ya kumuacha mwanaume kamili bila kumuumiza sana.
I see!!....
Give him second chance (one more time )
Utamuacha vipi mtu anayekupenda bila yeye kuumia? hapa nadhani mnacheza na hisia za watu.
 
I see!!....
Give him second chance (one more time )
Utamuacha vipi mtu anayekupenda bila yeye kuumia? hapa nadhani mnacheza na hisia za watu.

Hata najua kama ananipenda basiii. . . .usanii tu mwanume kamili.
 
Matola
Natafuta namna ya kumuacha mwanaume kamili bila kumuumiza sana.

Mh! Kumbe ndiyo dhumuni lako?! Hakika kwa namna yoyote ile, iwe ya kuchinja kama kuku au kama nguruwe, lazima huyo unayetaka kumwacha ataumia tu.
Labda jamaa awe na mipango ya kando ya kutosha...otherwise, kama jamaa ndiyo amejenga kibanda kwako, hakika ataumia tu.

Pengine labda ungesema sababu kuu moja ya wewe kutaka kumwacha (kama umeshaisema, si vibaya ukiirudia tena)
 
Wewe mkorofi kwani unatakaje ndio ujuwe kama unapendwa?.....

Aseme na anionyeshe jamani. . .
We unataka niwe kama sipo? Sielewi kama niko ndani au nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…