Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hahahahaaa hii miili yetu Wallah namshukuru Mungu kila uchao.Hahaaa yaaani nikilaga hilo yai halafu nalikunjia kati kati ya slice mbili za mkate weeeeee, kitambi hichoooo!!!
Ila ndo my favourite breakfast hasa kwa wikend, sema kunenepa sasa khaaaa!! kunanilostisha mamisosi bana
Heaven Sent ,Nifah niazimeni hiyo mwili yenu natural model nipate kufaidi mapochopocho bana. Mdomo unapenda ila huu mwili unanikosesha mengi akyanani
Wenzetu mnahangaika na midiets ila mie ndio kwaaaanza nakula hayo mayai kila siku,mapochopocho kibao lakini hata tumbo tu naliona kwa matukunyema huko barabarani!
Pole best yangu...
Hivi lara 1 keshaweka ile story ya Average Joe?