Breakfast idea, simple kabisa: Mkate wa kupaka carrot na mayonnaise

Breakfast idea, simple kabisa: Mkate wa kupaka carrot na mayonnaise

Mmmhhh mi huwa majanga dada
nikila hiyo hapatoshiiii nmetafta tiba waap
Tafuta hiyo cleanser, unaweza kuoder online
unnamed.png
 
Hahahahaaa hii miili yetu Wallah namshukuru Mungu kila uchao.
Wenzetu mnahangaika na midiets ila mie ndio kwaaaanza nakula hayo mayai kila siku,mapochopocho kibao lakini hata tumbo tu naliona kwa matukunyema huko barabarani!

Pole best yangu...
Hivi lara 1 keshaweka ile story ya Average Joe?
Bestie mshukuru sana Mungu kwa kukupa hizo genes za kimodo aisee
Naona kimyaa lara 1 hajashusha kitu, unless kama sijafukunyua vizuri
 
Hahaaa yaaani nikilaga hilo yai halafu nalikunjia kati kati ya slice mbili za mkate weeeeee, kitambi hichoooo!!!
Ila ndo my favourite breakfast hasa kwa wikend, sema kunenepa sasa khaaaa!! kunanilostisha mamisosi bana

Heaven Sent ,Nifah niazimeni hiyo mwili yenu natural model nipate kufaidi mapochopocho bana. Mdomo unapenda ila huu mwili unanikosesha mengi akyanani
Aaah achana na hii miili amazing teh teh, wewe fukia tu na gutambi gwako ahahah
 
Hahaha daddy never underestimate my choice, nina taste amazing kama yako. Jiandae tu kunipa hongera[emoji8] [emoji8]
Teh teh..Hujawahi kuniangusha Douta..Sitegemei kama hii ndo itakuwa mara ya kwanza..Nakuaminia
 
Back
Top Bottom