Breakfast idea, simple kabisa: Mkate wa kupaka carrot na mayonnaise

Wewe bado sana jibu hoja acha kuzunguka
Kuna hoja gani hapa? Hoja yangu ni kwamba hakuna mapishi pasipo kuhusisha moto au joto. Huwezi ukaja na salad au juisi au mkate na blueband halafu unasema mapishi. Ndiyo maana kila mtu anashangaa. Eti mapishi ya karoti . uuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. acha nicheke mieeeeeee
 
Huwa nasikia eti mayonise huwa inahujumu 'nguvu' eti?!....hebu niwekeni wazi kwanza kwenye hili....
 
Maandalizi:
unafungua wallet unatoa hela unaenda dukani kununua unga wa ngano kilo,chumvi, na Amira unaumua unaweka kwenye oven au mkaa ukitoa unaweka pembeni upoe kisha unakata kata, mkate upo tayari kwa kupakwa Mayonize unaweza KUSHUSHIA NA KICHURI
 
Wapi nimeandika mapishi ya carrot?
 
Kila mtu? You are living in the world of imagination rudi tu kwenye biashara ya maparachichi vipi wachina walishakuletea ule msaada wa mashine?
 
Vipi nundu, ipo? Au Sony wega!!
 
Kichuri,umenikumbusha mbaali.
Nyama choma, kichuri, pilipili halafu unasindikiza kwa ugali wa udaga mixer na mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…